Hivi na umri ulionao bado unaendeshwa na mapenzi?

Unajuaje kama hakufanyiwa?
Ungejua usingethubutu kusema ndio maana usijisumbue kumfurahisha mtu utajuta siku moja.
Hata umfute mtu kwa ulimi kule kwingine likiamua kwenda linakwenda tu
Ukiona mtu kabdailika ujue kuna mtu kamharibu.

Kuna dr. Mmoja wa kihaya alivyomjali mkewe haijawahi tokea yaani hata mkewe akisikia mkojo anamwambia waweza kuweka mikononi mimi nikupelekee kule...hee siku moja akamfuma kizembe mno akiparazwa .
Waliishia kutengana vyumba hadi leo hata hawaongei wamebaki kulea watoto.

Yule mjinga alivuna furaha yote
Nimekuelewa mkuu,pole... mapenz hayana formula 😔
 
Akiniacha yule muje munizike[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tunaanda na jeneza kabisa pamoja na msalaba na kukuwahia NAFASI ya kaburi
 
Dah![emoji848]
 
Binafsi
naendeshwa sana na ngono sio mapenzi
Moyo wa mapenzi ulishakufa kitambo sana
 
Binafsi
naendeshwa sana na ngono sio mapenzi
Moyo wa mapenzi ulishakufa kitambo sana
Ipo siku utaacha na kutulia na mkeo ni suala la muda mkuu.

Mimi binafsi nimehakikisha kuwa roho ya ngono kuna wakati utakutana mwanamke mwenye mikosi hakuna rangi utaacha kuona.

Nimeachaga kabisa kutangatanga hovyo
 
Akiniacha yule muje munizike[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tunaanda na jeneza kabisa pamoja na msalaba na kukuwahia NAFASI ya kaburi
😂😂
 
Ipo siku utaacha na kutulia na mkeo ni suala la muda mkuu.

Mimi binafsi nimehakikisha kuwa roho ya ngono kuna wakati utakutana mwanamke mwenye mikosi hakuna rangi utaacha kuona.

Nimeachaga kabisa kutangatanga hovyo
Hongera aisee...umechomoka hapo? Wanaume tukifanikiwa chomoka kwenye pombe na mbusasa...kama sio mafanikio ya duniani basi mbingu inatuhusu.
 
Back
Top Bottom