Hivi na umri ulionao bado unaendeshwa na mapenzi?

[emoji23] [emoji23] Wale wakina mwafulani walikua majobless? Hii kitu achana nayo kama wewe hayajakukuta mazito shukuru sana na omba sana yasikukute mana sio poa yaani.
Ni ujinga tu wanaoteseka namapenzi wote wanaendekeza ujinga watu wote waliojaa hawa dunian unatesekaje kwa sabab ya mwanamke ama mwanaume ?
 
Ni ujinga tu wanaoteseka namapenzi wote wanaendekeza ujinga watu wote waliojaa hawa dunian unatesekaje kwa sabab ya mwanamke ama mwanaume ?
πŸ™† Aisee ngoja ninyamaze mana hapa tu nateseka sema sijafikia level ya wale wanaofikia kusahau hata kuoga kisa wamependa.
 
Nitakua mtu wa mwish kuamini kwamba katibu alijiua kwa sabab ya kumpenda mke wa mtu
Haya tumuache huyo, yule jamaa wa Mwanza Side aliejipiga risasi nae vipi? Haya makitu hayana mbabe omba tu usikutwe.
 
Wapo wanaoweweseka na umri wao mkubwa mfano mama yangu mzazi ana umri wa miaka 53 lakini akiniona ninaongea na mwanamke huwa anapagawa na kuchachawa nahisi aliathirika kisaikorojia kwenye ishu za kimahusiano
 
πŸ™† Aisee ngoja ninyamaze mana hapa tu nateseka sema sijafikia level ya wale wanaofikia kusahau hata kuoga kisa wamependa.
Me sjawahi kuteseka na mapenz labda ni kwa sabab ya hii misukosuko ya kutafuta maisha iliyoniandama labda maisha yanikinyookea nitateseka πŸ˜πŸ˜‚
 
Yananiendesha sana tu kama gari mbovu [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…