Nimekuelewa mkuu,pole... mapenz hayana formula πUnajuaje kama hakufanyiwa?
Ungejua usingethubutu kusema ndio maana usijisumbue kumfurahisha mtu utajuta siku moja.
Hata umfute mtu kwa ulimi kule kwingine likiamua kwenda linakwenda tu
Ukiona mtu kabdailika ujue kuna mtu kamharibu.
Kuna dr. Mmoja wa kihaya alivyomjali mkewe haijawahi tokea yaani hata mkewe akisikia mkojo anamwambia waweza kuweka mikononi mimi nikupelekee kule...hee siku moja akamfuma kizembe mno akiparazwa .
Waliishia kutengana vyumba hadi leo hata hawaongei wamebaki kulea watoto.
Yule mjinga alivuna furaha yote
Dah![emoji848]Unajuaje kama hakufanyiwa?

Ipo siku utaacha na kutulia na mkeo ni suala la muda mkuu.Binafsi
naendeshwa sana na ngono sio mapenzi
Moyo wa mapenzi ulishakufa kitambo sana
ππAkiniacha yule muje munizike[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tunaanda na jeneza kabisa pamoja na msalaba na kukuwahia NAFASI ya kaburi
Ni sawaNitakua mtu wa mwish kuamini kwamba katibu alijiua kwa sabab ya kumpenda mke wa mtu
Kabisa yaaniEti jaman, mambo ya mahusiano usipokua makini tunakupoteza.
Hongera aisee...umechomoka hapo? Wanaume tukifanikiwa chomoka kwenye pombe na mbusasa...kama sio mafanikio ya duniani basi mbingu inatuhusu.Ipo siku utaacha na kutulia na mkeo ni suala la muda mkuu.
Mimi binafsi nimehakikisha kuwa roho ya ngono kuna wakati utakutana mwanamke mwenye mikosi hakuna rangi utaacha kuona.
Nimeachaga kabisa kutangatanga hovyo