binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
πππππMi nikiwaza chakula cha mchana we uwaze cha usiku. Maisha kusaidiana. Kwani kusema unachojisikia kula kuna shida gani. Mimi ningekaa na wewe ungekula chakula cha aina moja mpaka ujue kusema unachotaka kula
Ratiba ipate mpishi sasa vinginevyo mnaeza kuwa na ratiba ijumaa biriani ila mkala ugali tembeleBora hata ingekuwa siku ya Jumapili ndiyo aulize ratiba ya kula kuanzia J3 mpaka J1 muitengeneze na kuibandika mlango wa friji au jikoni..
ngoja nikioa na mm ntajionea ila kwa sasa naona limekaa uzuri sana ilo swaliLimekaa kimahaba ndio until you get asked 10 times in a row [emoji23][emoji23][emoji23] ndio utajua limekaa kimahaba au kero.
On the Valentine day mwanamke akiuliza hilo huwezi kumaindi. Its a special day for both of you. Ila ikigeuzwa norm huwezi kufurahia amini kwamba.
Kenge? Kenge wewe uliyemchoka mkeo na kuishia kuona swali jepesi la kuulizwa ule nini unakereka mpaka unalipandishia uzi. Nenda kwa mchepuko utaulizwa hilo swali daily na cha kushangaza hutakereka. Eti majibu kama ruler...ama mmewapata wake wema walioshushwa na Bwana.Kenge weee, yani friji lina nyama unilishe maharage deile. Ntakapouliza swali kuhusu vitoweo uwe na majibu yalionyooka kama ruler.
Hivi vitabia vya kukomoa waume kwa ujinga wenu ndio vinavyoongoza kuzalisha michepuko.
Duh pole mkuu, au bado mtoto sana? Afu wewe unaonekana hupendi vurugu.Elekezi Mara ngapi buddy Anajua mbele ya wali Samaki sipindui na week hii nimekula Mara moja Kila kitu kipo ...dah ...
Nimekuuliza why hakupiga simu kimya...
Nkaona nikiendelea kuuliza Nitazua mengine(nitamuumiza)
So nimetulia Tuu .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Mi nikiwaza chakula cha mchana we uwaze cha usiku. Maisha kusaidiana. Kwani kusema unachojisikia kula kuna shida gani. Mimi ningekaa na wewe ungekula chakula cha aina moja mpaka ujue kusema unachotaka kula
Na kuning'iniza miguu juu kama paka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Ndiyo bado kapo jamani. Ila majority kwa vile mnapenda kukaa bar na kuning'iniza miguu juu kama paka: inabidi tu tule wenyewe na watoto maana hamkawii kurudi siku ya pili (after saa 6 usiku)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pumbavu.
Ratiba ya msosi,ndio jibu.Kuwaza Cha kupika huwa ni kazi ngumu hata kukiwa na kila kitu, nakumuuliza mume nikujua anapenda nini kipikwe nisije kupika kitu asichokipenda. So kusaidiana mawazo kuhusu msosi ni Jambo zuri na linapunguza mzigo kwa mpigaji na njia rahisi ni kuwa na ratiba ya msosi
Kwa kweliHamjui mnachokitaka nyie.
Likikomaaa twajibu "Pika mchanga tule"Maswali ya kike matamu sana penzi likiwa changa
Na kuning'iniza miguu juu kama paka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Kama nisingekipenda nisingekinunua.Kuwaza Cha kupika huwa ni kazi ngumu hata kukiwa na kila kitu, nakumuuliza mume nikujua anapenda nini kipikwe nisije kupika kitu asichokipenda. So kusaidiana mawazo kuhusu msosi ni Jambo zuri na linapunguza mzigo kwa mpigaji na njia rahisi ni kuwa na ratiba ya msosi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eeeh si unawajua paka wa bar? (Kama umeshawahi kwenda bar)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bahati mbaya siwajui
Ngoja nitajaribu niende siku moja nikaone