Hivi, Nawe ni Mmoja Kati ya Waliokuwa Hawavui Nguo za Shule Wakifika Home...?

Nahis nitapelekwa mimba ikiwa na miezi minne tu nikajisubilie huko [emoji1787][emoji1787]na sikubali na usiombe upelekwe uchagan, uparen, uhayan, unyakyusani utakula mtori mpaka useme hallelujah
Ulogwe sasa upelekwe usukumani utakamua ng'ombe na kupika mpka kitambi kizidi kilo

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Watoto wa kiume,suruali za shule tulikua tunavaa mpaka weekend mtaani,tunabadili juu tu.

Hahahaha hatari sana mnapiga zenu ball mwanzo mwi

Hatari sana mzee baba...!
sho aisee.
 
Nikikuta wali njegere au ugali na bamia za kuungwa na nyanya na dagaa

Hizo nguo zisubirie kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…