Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Wanapaswa kufunguka sasa.Mimi nasubiri akishajiuzu. Yaani tarehe nne naisubiri kwa hamu.
Naamini yupo Salama, ndugu wangeshafunguka. Ndugu wanajua alipo.. Naamini kimya kingi kina mshindo
This shyt is weird AF!
Tukikubali ku normalize binadamu kupotea kama vile mtu unavyopoteza funguo au goroli, halafu kunakuwa hakuna outrage kwenye jamii, tutakuwa tunawapa ushindi mkubwa sana Samia na hao watu wake.
Hivi inawezekanaje kwa mtu aliyekuwa makamu haramu wa Rais ajiuzulu hiyo nafasi yake haramu halafu watu tunakuwa hatujui alipo?
Nchimbi alikuwa ni mtumishi [haramu] wa umma na aliyelipwa mshahara wake na sisi walipa kodi.
Hivyo tuna haki ya kujua alipo tokea atangaze kujiuzulu.
Yaani sielewi kabisa.
Mimi tu hapa mbeba maboksi nikipotea hata kwa siku moja tu, kutatolewa APB [all points bulletin] karibu dunia nzima.
Wapendwa wangu hawatakaa kimya.
Sasa hapa najiuliza……EN yeye hana watoto? Hana siblings? Hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kusema alipo?
Hata kujitokeza tu anonymously na kutoa neno nako wameshindwa?
Hata kama hawajui alipo na hawajui ana hali gani, nako wameshindwa kufanya?
Mke wake je? Au naye wamepotezwa pamoja naye?
Nchi ya ajabu sana hii.
That’s cowardice and it’s not an option.sasa tufanyaje
tukiandamana tunauliwa
tukiongea tunauliwa
inabidi tupige makofi na kusema
sawasawa walivyomteka
Uoga ni ujingasasa tufanyaje

sikia nikwambie sisi watanganyika hatuna machaguoThat’s cowardice and it’s not an option.
Free EN.This shyt is weird AF!
Tukikubali ku normalize binadamu kupotea kama vile mtu unavyopoteza funguo au goroli, halafu kunakuwa hakuna outrage kwenye jamii, tutakuwa tunawapa ushindi mkubwa sana Samia na hao watu wake.
Hivi inawezekanaje kwa mtu aliyekuwa makamu haramu wa Rais ajiuzulu hiyo nafasi yake haramu halafu watu tunakuwa hatujui alipo?
Nchimbi alikuwa ni mtumishi [haramu] wa umma na aliyelipwa mshahara wake na sisi walipa kodi.
Hivyo tuna haki ya kujua alipo tokea atangaze kujiuzulu.
Yaani sielewi kabisa.
Mimi tu hapa mbeba maboksi nikipotea hata kwa siku moja tu, kutatolewa APB [all points bulletin] karibu dunia nzima.
Wapendwa wangu hawatakaa kimya.
Sasa hapa najiuliza……EN yeye hana watoto? Hana siblings? Hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kusema alipo?
Hata kujitokeza tu anonymously na kutoa neno nako wameshindwa?
Hata kama hawajui alipo na hawajui ana hali gani, nako wameshindwa kufanya?
Mke wake je? Au naye wamepotezwa pamoja naye?
Nchi ya ajabu sana hii.
unataka nifanye niniUoga ni ujinga
Sasa unafikiri tuna nini cha kufanya dhidi ya yanayotokea Mkuu?This shyt is weird AF!
Tukikubali ku normalize binadamu kupotea kama vile mtu unavyopoteza funguo au goroli, halafu kunakuwa hakuna outrage kwenye jamii, tutakuwa tunawapa ushindi mkubwa sana Samia na hao watu wake.
Hivi inawezekanaje kwa mtu aliyekuwa makamu haramu wa Rais ajiuzulu hiyo nafasi yake haramu halafu watu tunakuwa hatujui alipo?
Nchimbi alikuwa ni mtumishi [haramu] wa umma na aliyelipwa mshahara wake na sisi walipa kodi.
Hivyo tuna haki ya kujua alipo tokea atangaze kujiuzulu.
Yaani sielewi kabisa.
Mimi tu hapa mbeba maboksi nikipotea hata kwa siku moja tu, kutatolewa APB [all points bulletin] karibu dunia nzima.
Wapendwa wangu hawatakaa kimya.
Sasa hapa najiuliza……EN yeye hana watoto? Hana siblings? Hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kusema alipo?
Hata kujitokeza tu anonymously na kutoa neno nako wameshindwa?
Hata kama hawajui alipo na hawajui ana hali gani, nako wameshindwa kufanya?
Mke wake je? Au naye wamepotezwa pamoja naye?
Nchi ya ajabu sana hii.
Ukishindwa yote hata ulie tuunataka nifanye nini
Labda kuna kitu kapanga au anapanga, akisema mapema itakuwa premature.. Tumpe muda apumzike na apange draft upya. Si mtoto mdogo.. Anajua afanyacho.Wanapaswa kufunguka sasa.
Mkuu mambo yamebadilika sana, Kuna watu wamejimilikisha uhai wa wenzao,This shyt is weird AF!