ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #61
Naomba mnitajie miradi 5 tuu ya thamani ya kuanzia Bil.200 ambayo Mwendazake alikamilisha ,akaianza na kuikamilisha.Shida ya nchi hii Kuna watu wanajifanya yaani wao ndiyo walikuwepo wakati JPM anatawala na sisi wengine hatukuwepo.Mtu mzima analeta mada ya kitoto kana kwamba ana waadithia wajukuu zake ambao hawakuwepo enzi za utawala wa awamu ya tano!
Jibu hoja wewe,nitajie miradi 5 tuu aliyoikamilisha Mwendazake Kwa miaka 5 aliyokaa madarakani Yenye thamani ya kuanzia bil.200 na zaidi..Maskini jamiiforumu imevamiwa na vichaa mnaona fungua nchi halafu unatoa vibari vya kununua mahindi mliuza nje
USSR
Yakowapi? Unayaona wewe tuu bwana mlinda legacy au? π€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺSiwez kubishana na kilaza.aliyofanya Jpm yanaonekana kwa macho haina haja ya takwimu.ni sawa leo mtu wa mpira aombe takwimu za messi na wakati aliyoyafanya yanajulikana kwa hiyo kaa na chuki zako fool wewe
Fedha za wizi ndio Fedha zipi? Za wizi wa Plea bargaining Kwa nini hamkuziondoa? Za wizi wa Prof Assad 1.5T Kwa nini hamkuziondoa? Pesa zipi hizo za wizi mlizoziondoa? Unaweza nitajia?Fedha za wizi ziliondolewa kwenye mfumo halali.
Badala ya kuingia kwenye mifuko ya wezi zikaelekezwa kwenye miradi ambayo tunaiona na kunufaika nayo sasa.
Porojo zipi? DGP growth rate ilipungua awamu ya Mwendazake kulinganisha na awamu zilizotangulia..Naomba uni chambulie kichumi zaidi hapa ? Sitaki porojo.
Malaya unawasingizia Ili upate Cha kusema, ukweli ni kwamba uchumi ulidorora kuanzia matumizi ya Saruji Hadi mazao kukosa soko eti ndio mliita kurhibiti mfumuko wa bei ππππWale Malaya wenzako wa bongo movi walipokosa pesa za mapapa za kuhongwa wakalia vyuma kwani huwa wanakazi gani nyingine hapa mjini zaidi ya kuuza k
USSR
Kwani Kuna sehemu wamesema uchumi ulikuwa haukui? Kilichopungua ni Kasi ya ukuaji wa uchumi..Iweje aliharibu uchumi halafu nchi ikaenda uchumi wa kati. Mtoa mada hebu tueleweshevizuri
Ukiacha kuanzisha alikamilisha miradi ipi ya maana?Pale juu nimechambua asante kwa nyongeza maana hiyo miradi yote unayoisema ilianzishwa na Magufuli tena kwa kupingwa kila kona na hawa vibaraka
Meli ya mv mwanza sasa inatoa mizigo mwanza mpaka Uganda na kenya ikitokea kwenye reli yetu ya mizigo ile ya urithi wa mjerumani.
Busisi ni kiungo hasa magari ya mizigo yanayoelekea Rwanda, Uganda , Burundi na DRC
Hilo bwawa wakina Lisu walikwenda hadi Ulaya UNESCO kupiga kelele leo wanaona aibu
Rais Samia alisema hivi"viatu vya Magufuli ni vikubwa sana kwangu yeye alikuwa bora kila sehemu"
Tena akasema "jana usiku nikiwa nimelala nilimuoa Magufuli akija na kuniuliza miradi yake ambayo tulianzisha pamoja " ile miradi ni moyo wa uchumi
USSR
Sawa zumbukukuPorojo zipi? DGP growth rate ilipungua awamu ya Mwendazake kulinganisha na awamu zilizotangulia..
Figures ziko hapo fanya simple maths ya kutoa na kugawanya times 100 utapata
Hata Sri Lanka na Zambia au Ghana uchumi ulihimili kujenga miradi ila ulijifia π€ͺπ€ͺ
Mwisho swali langu ni Moja ,Taja miradi 5 ya kuanzia Bil.200 aliyoikamilisha Mwendazake Kwa bilioni 200
Mojawapo ya juhudi ni pamoja na kipunguza kuajiri na kuwapanga waliopo waweze kufanya kazi kwa bididooooMagufuli angekusanya hizo pesa angeshindwa kuajiri? Miradi aliyoiqnzisha ingekuwa inasuasua?
Ndio maana nakwambia wewe ni useless umebeba kichwa kama mzigo, Waziri wa Fedha ambae ni VP wa Sasa anasema kabisa mapato Kwa mwezi aliacha 1.2 Til na Sasa ndio Yako 2.0 Tilioni wewe unaleta hadithi za kutunga?
Mkoa niliko hakuna mradi hata mmja wa Maji ulitekelezwa zaidi ya Barabara za ULGSP..Tanzania: Jumla ya miradi ya maji safi na salama 1, 423 yenye thamani ya shilingi trilioni 1.2 imetekelezwa katika miji 28 nchini Tanzania katika Serikali ya Awamu ya tano.
ULIMWENGU
Miradi ya Maji 1, 423: Thamani Sh. Trilioni 1.2 Imetekelezwa Tanzania
Serikali ya Awamu ya Tano nchini Tanzania imetekeleza miradi ya maji 1,423 yenye thamani ya sh. trilioni 1.2 katika miji 28 nchini ikiwemo na wilaya ya Longido. Amesema upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama vijijini umeongezeka kutoka asilimia 47 mwaka 2015 hadi kufikia asilimia 70 mwaka 2020 na kwa mijini kutoka asilimia 74 mwaka 2015 hadi kufikia asilimia 84 mwaka 2020.
Na Ofisi ya Waziri Mkuu, Arusha, Tanzania.
Hiyo ni moja
Mlivyopunguza kuajiri mkawapanga waliopo wakatosheleza kazi na wakapata welfare nzuri au? ππππMojawapo ya juhudi ni pamoja na kipunguza kuajiri na kuwapanga waliopo waweze kufanya kazi kwa bididoooo
Uko series ama tu ukiwa mpinzani wa mtu fulani hata akifanya la maana kwako ni takataka?Mkoa niliko hakuna mradi hata mmja wa Maji ulitekelezwa zaidi ya Barabara za ULGSP..
Bahatimbaya hakuna mtu anaweza amani takwimu za propaganda eti miradi 1423 ππ
Nitajie miradi 5 tuu maana Mimi Kwa Sasa ukitaka nikutajie ninayo rundo..
Bajeti Kwa ya Wizara ya maji Kwa mwaka ilikuwa chini ya bil.300 then haitoki wanapata chini ya 50% Kwa sababu ya inefficient ya mapato uje kusema miradi ya Maji,ipi? Taja hata 5 tuu.
Wewe nimekwambia nitajie miradi 5 iliyokamilika ya kuanzia bil.200 kwenda Juu..Uko series ama tu ukiwa mpinzani wa mtu fulani hata akifanya la maana kwako ni takataka?
Makao mkuu Dodoma
Barabara ya njia nane Dar
daraja la Busisi
Daraja la Salenda
JKNHP
SGR
Ndege12
Flyover Dar
Ujenzi wa vituo vya afya 400 nchi nzima, hospital kubwa za rufaa
Ujenzi wa masoko ya Dhahabu na madini
Mradi wa maji mkubwa Arusha
Upanuzi wa viwanja vya ndege
Upanuzi wa Bandari zote nchini
Ujenzi wa meri mpya katika maziwa mkuu
Stendi kuu za mikoa Karibu yote Tanzania
Kuwaambia kina Mbowe walipe kodi ya serikali ikawa jinga n.k
MwendakuzimuHabari zenu wanabodi..
Ushahidi wa Takwimu umebainisha jinsi Serikali ya Magufuli iliharibu Uchumi wa Tanzania Kwa kiwango Kikubwa.
Kwa mujibu wa jarida la Tanzania Business Insight likinukuu taarifa za Benki Kuu na Ofisi ya Taifa ya Takwimu limefanya ulinganisho wa ukuaji wa Uchumi Kwa awamu ya kwanza ya Rais Mkapa,Kikwete na Magufuli.
Takwimu zinabainisha kwamba licha ya GDP kuongezeka ila Kasi ya uchumi ilipungua kutoka wastani wa 74% awamu ya kwanza ya Kikwete Hadi Asilimia 32% awamu ya kwanza ya Magufuli..
Aidha Uchambuzi pia unaonesha awamu ya kwanza ya Marehemu Mkapa,Alikuza uchumi Kwa Asilimia 154% na ni katika awamu ya Mkapa ndipo Uchumi wa Tanzania ulikuwa Mkubwa kuliko wa Kenya.
My Take
Ukweli ni kwamba licha ya Majigambo,Magufuli alifeli sana kwenye uchumi na ndio chanzo Cha kuanzisha udikteta usio na msingi ikiwemo kutunga Sheria za kuzuia watu ku challenge takwimu za uongo na za kupika za Serikali yake.βNa kawaida ya Uchumi,namba Huwa hazidanganyi.
Wafuasi wa Mwendazake njooni mtoe majibu Kwa nini mlihatibu Uchumi? Mlikuwa mnafanya kazi gani hasa?
Swali lililosalia ni Je awamu ya 6 itatuvusha? Ni suala la kusubiria.
π
Nitajie mradi mmoja tu ambao ulisimama licha kwamba unasema eti hakukuwa na fedha ya kutoshea hiyo miradi!Wewe nimekwambia nitajie miradi 5 iliyokamilika ya kuanzia bil.200 kwenda Juu..
Usinitajie miradi ambayo aliishia.kuoanzisha na Wala asingeimaliza ndani ya miaka 5 Kwa sababu ya inefficiency ya mapato ndio maana Mwendazake alikuwa na Mpango wa kutawala miaka zaidi ya 10..
Dom HQ ni on progress haiwezi Kukamilika Leo Wala kesho.
Njia 8 hizo hazikukamilika kama Magufuli stand ambayo aliizindua ila haikukamilika,
Busisi ndio kwaanza lilikuwa 10%
Slender Samia kakamilisha,
JNHEP ni Yale Yale it was less than 35% licha ya kuanza Ujenzi Kwa miezi zaid ya 24
SGR hakuna Kipande alikamilisha ukiacha kuzindua ujenzi wa vipande 3 tuu
Yaani.kiufupi unanichosha tuu,hujajibu hoja yangu kwamba je.miaka 5 ilikuwa haitoshi kukamilisha mradi mkubwa hata mmja? Maana nimesema nitajie miradi 5 tuu ya zaidi ya bil.200 aliyoikamilisha hujajibu..
Hii ndio proof kwamba kulikuwa na activities chache kwenye uchumi ndio maana growth rate ilikuwa only 32% .
Ushahidi mwingine ni kwamba miradi yote aliyoiacha inafanyika Kwa Kasi na bila visingizio na mingine mipya Juu..
Wewe sio mtanzania maana ungekuwa mtanzania usingekuwa na maswali kama haya.Fedha za wizi ndio Fedha zipi? Za wizi wa Plea bargaining Kwa nini hamkuziondoa? Za wizi wa Prof Assad 1.5T Kwa nini hamkuziondoa? Pesa zipi hizo za wizi mlizoziondoa? Unaweza nitajia?
Always excuses π€ͺππ€ͺπ jibu hojaWewe sio mtanzania maana ungekuwa mtanzania usingekuwa na maswali kama haya.