Hivi ndivyo Hayati Magufuli aliharibu Uchumi wa Tanzania. Takwimu huwa hazidanganyi

Hivi ndivyo Hayati Magufuli aliharibu Uchumi wa Tanzania. Takwimu huwa hazidanganyi

Shida ya nchi hii Kuna watu wanajifanya yaani wao ndiyo walikuwepo wakati JPM anatawala na sisi wengine hatukuwepo.Mtu mzima analeta mada ya kitoto kana kwamba ana waadithia wajukuu zake ambao hawakuwepo enzi za utawala wa awamu ya tano!
Naomba mnitajie miradi 5 tuu ya thamani ya kuanzia Bil.200 ambayo Mwendazake alikamilisha ,akaianza na kuikamilisha.

Sitaki Mingi nataka 5 tuu Kwa miaka 5 aliyokaa madarakani
 
Maskini jamiiforumu imevamiwa na vichaa mnaona fungua nchi halafu unatoa vibari vya kununua mahindi mliuza nje

USSR
Jibu hoja wewe,nitajie miradi 5 tuu aliyoikamilisha Mwendazake Kwa miaka 5 aliyokaa madarakani Yenye thamani ya kuanzia bil.200 na zaidi..

Ukoniletea nafunga uzi
 
Siwez kubishana na kilaza.aliyofanya Jpm yanaonekana kwa macho haina haja ya takwimu.ni sawa leo mtu wa mpira aombe takwimu za messi na wakati aliyoyafanya yanajulikana kwa hiyo kaa na chuki zako fool wewe
Yakowapi? Unayaona wewe tuu bwana mlinda legacy au? 🤪🤪🤪🤪

Sie tunaona Kuporomoka Kwa uchumi ndio maana huna akili unaacha kujibu hoja unataka kubishana.
 
Fedha za wizi ziliondolewa kwenye mfumo halali.

Badala ya kuingia kwenye mifuko ya wezi zikaelekezwa kwenye miradi ambayo tunaiona na kunufaika nayo sasa.
Fedha za wizi ndio Fedha zipi? Za wizi wa Plea bargaining Kwa nini hamkuziondoa? Za wizi wa Prof Assad 1.5T Kwa nini hamkuziondoa? Pesa zipi hizo za wizi mlizoziondoa? Unaweza nitajia?
 
Naomba uni chambulie kichumi zaidi hapa ? Sitaki porojo.
Porojo zipi? DGP growth rate ilipungua awamu ya Mwendazake kulinganisha na awamu zilizotangulia..

Figures ziko hapo fanya simple maths ya kutoa na kugawanya times 100 utapata majibu.
 
Wale Malaya wenzako wa bongo movi walipokosa pesa za mapapa za kuhongwa wakalia vyuma kwani huwa wanakazi gani nyingine hapa mjini zaidi ya kuuza k

USSR
Malaya unawasingizia Ili upate Cha kusema, ukweli ni kwamba uchumi ulidorora kuanzia matumizi ya Saruji Hadi mazao kukosa soko eti ndio mliita kurhibiti mfumuko wa bei 😁😁😁😁
 
Iweje aliharibu uchumi halafu nchi ikaenda uchumi wa kati. Mtoa mada hebu tueleweshevizuri
Kwani Kuna sehemu wamesema uchumi ulikuwa haukui? Kilichopungua ni Kasi ya ukuaji wa uchumi..

Kiufupi Uchumi wa Nchi ulikumbwa na utapiamlo wa kiuchumi ukawa unakua kama mtoto asiye na Afya yaani unakua Kwa kudorora kiuchumi inaitwa slaggish growth.

Kiasi kilichohitajika kukidhi Kigezo Cha uchumi wa kati ni kiwango kidogo tuu ndio maana ilifikiwa..

Sasa umetafuniwa mkia unakushindaje?
 
Pale juu nimechambua asante kwa nyongeza maana hiyo miradi yote unayoisema ilianzishwa na Magufuli tena kwa kupingwa kila kona na hawa vibaraka

Meli ya mv mwanza sasa inatoa mizigo mwanza mpaka Uganda na kenya ikitokea kwenye reli yetu ya mizigo ile ya urithi wa mjerumani.

Busisi ni kiungo hasa magari ya mizigo yanayoelekea Rwanda, Uganda , Burundi na DRC

Hilo bwawa wakina Lisu walikwenda hadi Ulaya UNESCO kupiga kelele leo wanaona aibu

Rais Samia alisema hivi"viatu vya Magufuli ni vikubwa sana kwangu yeye alikuwa bora kila sehemu"

Tena akasema "jana usiku nikiwa nimelala nilimuoa Magufuli akija na kuniuliza miradi yake ambayo tulianzisha pamoja " ile miradi ni moyo wa uchumi

USSR
Ukiacha kuanzisha alikamilisha miradi ipi ya maana?

Kwa hiyo kazi yake ilikuwa ni kuanzisha tuu? Angemalizaje kwanza na Uchumi ulikuwa unaporomoka awamu yake?

Mtu Hadi madarasa y Watoto yalimshinda angewezaje kukamilisha miradi? Ndio maana ilimshinda
 
Hata Sri Lanka na Zambia au Ghana uchumi ulihimili kujenga miradi ila ulijifia 🤪🤪

Mwisho swali langu ni Moja ,Taja miradi 5 ya kuanzia Bil.200 aliyoikamilisha Mwendazake Kwa bilioni 200
Tanzania: Jumla ya miradi ya maji safi na salama 1, 423 yenye thamani ya shilingi trilioni 1.2 imetekelezwa katika miji 28 nchini Tanzania katika Serikali ya Awamu ya tano.
Tanzania: Jumla ya miradi ya maji safi na salama 1, 423 yenye thamani ya shilingi trilioni 1.2 imetekelezwa katika miji 28 nchini Tanzania katika Serikali ya Awamu ya tano.
ULIMWENGU

Miradi ya Maji 1, 423: Thamani Sh. Trilioni 1.2 Imetekelezwa Tanzania​

Serikali ya Awamu ya Tano nchini Tanzania imetekeleza miradi ya maji 1,423 yenye thamani ya sh. trilioni 1.2 katika miji 28 nchini ikiwemo na wilaya ya Longido. Amesema upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama vijijini umeongezeka kutoka asilimia 47 mwaka 2015 hadi kufikia asilimia 70 mwaka 2020 na kwa mijini kutoka asilimia 74 mwaka 2015 hadi kufikia asilimia 84 mwaka 2020.

Na Ofisi ya Waziri Mkuu, Arusha, Tanzania.

Hiyo ni moja
 
Marehemu Magufuri, hayupo tena Duniani hapa_ na unamzungumzia sana. huu ni ukweli.

Siku wewe pia Ukifa na Usipokuwepo hapa duniani_ hamna atakaye kuzungumzia na hata japo kukumbuka tu. huu pia ni ukweli kabisa.
 
Magufuli angekusanya hizo pesa angeshindwa kuajiri? Miradi aliyoiqnzisha ingekuwa inasuasua?

Ndio maana nakwambia wewe ni useless umebeba kichwa kama mzigo, Waziri wa Fedha ambae ni VP wa Sasa anasema kabisa mapato Kwa mwezi aliacha 1.2 Til na Sasa ndio Yako 2.0 Tilioni wewe unaleta hadithi za kutunga?

Mojawapo ya juhudi ni pamoja na kipunguza kuajiri na kuwapanga waliopo waweze kufanya kazi kwa bididoooo
 
Tanzania: Jumla ya miradi ya maji safi na salama 1, 423 yenye thamani ya shilingi trilioni 1.2 imetekelezwa katika miji 28 nchini Tanzania katika Serikali ya Awamu ya tano.
Tanzania: Jumla ya miradi ya maji safi na salama 1, 423 yenye thamani ya shilingi trilioni 1.2 imetekelezwa katika miji 28 nchini Tanzania katika Serikali ya Awamu ya tano.
ULIMWENGU

Miradi ya Maji 1, 423: Thamani Sh. Trilioni 1.2 Imetekelezwa Tanzania​

Serikali ya Awamu ya Tano nchini Tanzania imetekeleza miradi ya maji 1,423 yenye thamani ya sh. trilioni 1.2 katika miji 28 nchini ikiwemo na wilaya ya Longido. Amesema upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama vijijini umeongezeka kutoka asilimia 47 mwaka 2015 hadi kufikia asilimia 70 mwaka 2020 na kwa mijini kutoka asilimia 74 mwaka 2015 hadi kufikia asilimia 84 mwaka 2020.

Na Ofisi ya Waziri Mkuu, Arusha, Tanzania.

Hiyo ni moja
Mkoa niliko hakuna mradi hata mmja wa Maji ulitekelezwa zaidi ya Barabara za ULGSP..

Bahatimbaya hakuna mtu anaweza amani takwimu za propaganda eti miradi 1423 😁😁

Nitajie miradi 5 tuu maana Mimi Kwa Sasa ukitaka nikutajie ninayo rundo..

Bajeti Kwa ya Wizara ya maji Kwa mwaka ilikuwa chini ya bil.300 then haitoki wanapata chini ya 50% Kwa sababu ya inefficient ya mapato uje kusema miradi ya Maji,ipi? Taja hata 5 tuu.
 
Mojawapo ya juhudi ni pamoja na kipunguza kuajiri na kuwapanga waliopo waweze kufanya kazi kwa bididoooo
Mlivyopunguza kuajiri mkawapanga waliopo wakatosheleza kazi na wakapata welfare nzuri au? 😝😝😝😝

Nilikuwa mkandarasi by then ilibidi niache kazi kwnza,unatenda mradi wa mil.250 ukianza implementation wanawaza kukata Hadi unafika mil.150 matokeo yake ni hasara tupu na hulipwi Kwa wakati..

Saizi tunafanya kazi,uliza mkandarasi yeyote arakupa majibu.
 
Mkoa niliko hakuna mradi hata mmja wa Maji ulitekelezwa zaidi ya Barabara za ULGSP..

Bahatimbaya hakuna mtu anaweza amani takwimu za propaganda eti miradi 1423 😁😁

Nitajie miradi 5 tuu maana Mimi Kwa Sasa ukitaka nikutajie ninayo rundo..

Bajeti Kwa ya Wizara ya maji Kwa mwaka ilikuwa chini ya bil.300 then haitoki wanapata chini ya 50% Kwa sababu ya inefficient ya mapato uje kusema miradi ya Maji,ipi? Taja hata 5 tuu.
Uko series ama tu ukiwa mpinzani wa mtu fulani hata akifanya la maana kwako ni takataka?

Makao mkuu Dodoma

Barabara ya njia nane Dar

daraja la Busisi

Daraja la Salenda

JKNHP

SGR

Ndege12

Flyover Dar

Ujenzi wa vituo vya afya 400 nchi nzima, hospital kubwa za rufaa

Ujenzi wa masoko ya Dhahabu na madini

Mradi wa maji mkubwa Arusha

Upanuzi wa viwanja vya ndege

Upanuzi wa Bandari zote nchini

Ujenzi wa meri mpya katika maziwa mkuu

Stendi kuu za mikoa Karibu yote Tanzania

Kuwaambia kina Mbowe walipe kodi ya serikali ikawa jinga n.k
 
Wewe nimekwambia nitajie miradi 5 iliyokamilika ya kuanzia bil.200 kwenda Juu..

Usinitajie miradi ambayo aliishia.kuoanzisha na Wala asingeimaliza ndani ya miaka 5 Kwa sababu ya inefficiency ya mapato ndio maana Mwendazake alikuwa na Mpango wa kutawala miaka zaidi ya 10..

Dom HQ ni on progress haiwezi Kukamilika Leo Wala kesho.

Njia 8 hizo hazikukamilika kama Magufuli stand ambayo aliizindua ila haikukamilika,
Busisi ndio kwaanza lilikuwa 10%
Slender Samia kakamilisha,
JNHEP ni Yale Yale it was less than 35% licha ya kuanza Ujenzi Kwa miezi zaid ya 24
SGR hakuna Kipande alikamilisha ukiacha kuzindua ujenzi wa vipande 3 tuu

Yaani.kiufupi unanichosha tuu,hujajibu hoja yangu kwamba je.miaka 5 ilikuwa haitoshi kukamilisha mradi mkubwa hata mmja? Maana nimesema nitajie miradi 5 tuu ya zaidi ya bil.200 aliyoikamilisha hujajibu..

Hii ndio proof kwamba kulikuwa na activities chache kwenye uchumi ndio maana growth rate ilikuwa only 32% .

Ushahidi mwingine ni kwamba miradi yote aliyoiacha inafanyika Kwa Kasi na bila visingizio na mingine mipya Juu..
 
Habari zenu wanabodi..

Ushahidi wa Takwimu umebainisha jinsi Serikali ya Magufuli iliharibu Uchumi wa Tanzania Kwa kiwango Kikubwa.

Kwa mujibu wa jarida la Tanzania Business Insight likinukuu taarifa za Benki Kuu na Ofisi ya Taifa ya Takwimu limefanya ulinganisho wa ukuaji wa Uchumi Kwa awamu ya kwanza ya Rais Mkapa,Kikwete na Magufuli.

Takwimu zinabainisha kwamba licha ya GDP kuongezeka ila Kasi ya uchumi ilipungua kutoka wastani wa 74% awamu ya kwanza ya Kikwete Hadi Asilimia 32% awamu ya kwanza ya Magufuli..

Aidha Uchambuzi pia unaonesha awamu ya kwanza ya Marehemu Mkapa,Alikuza uchumi Kwa Asilimia 154% na ni katika awamu ya Mkapa ndipo Uchumi wa Tanzania ulikuwa Mkubwa kuliko wa Kenya.

My Take
Ukweli ni kwamba licha ya Majigambo,Magufuli alifeli sana kwenye uchumi na ndio chanzo Cha kuanzisha udikteta usio na msingi ikiwemo kutunga Sheria za kuzuia watu ku challenge takwimu za uongo na za kupika za Serikali yake. Na kawaida ya Uchumi,namba Huwa hazidanganyi.

Wafuasi wa Mwendazake njooni mtoe majibu Kwa nini mlihatibu Uchumi? Mlikuwa mnafanya kazi gani hasa?
Swali lililosalia ni Je awamu ya 6 itatuvusha? Ni suala la kusubiria.
👇

Mwendakuzimu
 
Wewe nimekwambia nitajie miradi 5 iliyokamilika ya kuanzia bil.200 kwenda Juu..

Usinitajie miradi ambayo aliishia.kuoanzisha na Wala asingeimaliza ndani ya miaka 5 Kwa sababu ya inefficiency ya mapato ndio maana Mwendazake alikuwa na Mpango wa kutawala miaka zaidi ya 10..

Dom HQ ni on progress haiwezi Kukamilika Leo Wala kesho.

Njia 8 hizo hazikukamilika kama Magufuli stand ambayo aliizindua ila haikukamilika,
Busisi ndio kwaanza lilikuwa 10%
Slender Samia kakamilisha,
JNHEP ni Yale Yale it was less than 35% licha ya kuanza Ujenzi Kwa miezi zaid ya 24
SGR hakuna Kipande alikamilisha ukiacha kuzindua ujenzi wa vipande 3 tuu

Yaani.kiufupi unanichosha tuu,hujajibu hoja yangu kwamba je.miaka 5 ilikuwa haitoshi kukamilisha mradi mkubwa hata mmja? Maana nimesema nitajie miradi 5 tuu ya zaidi ya bil.200 aliyoikamilisha hujajibu..

Hii ndio proof kwamba kulikuwa na activities chache kwenye uchumi ndio maana growth rate ilikuwa only 32% .

Ushahidi mwingine ni kwamba miradi yote aliyoiacha inafanyika Kwa Kasi na bila visingizio na mingine mipya Juu..
Nitajie mradi mmoja tu ambao ulisimama licha kwamba unasema eti hakukuwa na fedha ya kutoshea hiyo miradi!

Kisha baada ya hapo uje uniambie pia kwamba, huyu JPM unayesema uchumi ulimfia, huo wizi wa matriioni mnaokesha kuimba humu alikuwa akizipata wapi hizo pesa kuiba wakati uchumi ulimfia?

Istoshe, nimekuletae miradi mbalimbali ya maji iliyotumia zaidi ya triion 1+

Halafu hutaki kuelewa
 
Back
Top Bottom