ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #61
Naomba mnitajie miradi 5 tuu ya thamani ya kuanzia Bil.200 ambayo Mwendazake alikamilisha ,akaianza na kuikamilisha.Shida ya nchi hii Kuna watu wanajifanya yaani wao ndiyo walikuwepo wakati JPM anatawala na sisi wengine hatukuwepo.Mtu mzima analeta mada ya kitoto kana kwamba ana waadithia wajukuu zake ambao hawakuwepo enzi za utawala wa awamu ya tano!
Sitaki Mingi nataka 5 tuu Kwa miaka 5 aliyokaa madarakani