Naunga mkono hoja , hata naturally inakataa mtu ukiwa na ndevu Kuna Aura flani ya heshima na uanaume inaonekana kwenye uso .Bila hata maandiko naonaga kunyoa ndefu kwa mwanaume kama anazo ni undezi tu
Yeah testosterone look 💪Naunga mkono hoja , hata naturally inakataa mtu ukiwa na ndevu Kuna Aura flani ya heshima na uanaume inaonekana kwenye uso .
Ndio maana Kuna stori nilisikia Marekani ilikuwa inafanya majaribio ya kutaka Fidel Castro anyolewe ndevu zake ili heshima yake ishuke
Napata tabu kujadiliana na Vilaza kama wewe , mada haizungumzia kuwa ndevu ni utakatifu na kukataza kunyoa bali ni kuwakosoa wale ambao wanawasema na kuwakejeli watu waliochagua kufuga ndevu .Ndevu ni kama nywele tu..hakuna kosa kuzifuga wala kuzinyoa ...kwa sababu hakuna mtu yoyote aliye ambiwa na mungu kuwa ni mtakatifu au ni mwenye dhambi kwa sababu ya kufuga ndevu au kunyoa ndevu.... ndiyo maana hata wapo wazee wana vipara kwa nywere kutokuota....upumbavu wa waislamu ni kuamini ndevu na kiarabu ni kama ibada.
Nikama ilivyo kuwa kwenye kunyoa kipara zamani ilikuwa ni kama kujivunjia heshima au kuvunjiwa heshimq ..ndiyo maana Muhammad alipo kuja na wahy wa waislamu wanyoe ilileta ubishi hadi swahaba mmoja akamshauri Muhammad kuwa yeye Muhammad na awe wa kwanza kufanya hivyo ndiyo uma wa waislamu wakakubali baada ya Muhammad kunyoa ...Naunga mkono hoja , hata naturally inakataa mtu ukiwa na ndevu Kuna Aura flani ya heshima na uanaume inaonekana kwenye uso .
Ndio maana Kuna stori nilisikia Marekani ilikuwa inafanya majaribio ya kutaka Fidel Castro anyolewe ndevu zake ili heshima yake ishuke
Una IQ ndogo sana , wapi huyo ulimQuoye kasema wenye ndevu ni watakatifu hivi unasoma na kuelewa kweli ?Kwa hiyo wote wenye ndevu ni watakatifu na wote waovu ni wasio na ndevu ...yesu akasema hata nyinyi bado ni wajinga ..amjui kuwa chakula uingia kinywani kisha utupwa chooni...yanayo mtia mtu dhambi ni yatokayo moyoni.
Soma nilicho andika kwa kutumia akili...mwisho nimeeleza kuhusu sababu za watu kuwakashifuni na midevu yenu ni kwamba nyinyi mnanasibisha ndevu na uislamu na ibada...shida ipo hapo nikama mfanyavyo kuhusu lugha ya kiarabu...nikama upumbavu wa wakristo wengi wa kutukuza waisrael kuwa kama sehemu ya ibada kwao...kana kwamba waisrael walikuwa ni watakatifu wote.Napata tabu kujadiliana na Vilaza kama wewe , mada haizungumzia kuwa ndevu ni utakatifu na kukataza kunyoa bali ni kuwakosoa wale ambao wanawasema na kuwakejeli watu waliochagua kufuga ndevu .
Haya nipe maoni yako juu ya mtu ambaye anasema vibaya mtu kufuga ndevu na kumkebehi je , ni sawa kwa mtoto wa kiume kuwa hivyo ?
Kwa nini uite Upumbavu yeye akiamini kufuga ndevu ibada bila kulazimisha watu wengine inakuwaje shida na inawaathiri vipi wengine ?
Weka source kuhusu kunyoa kipara ilikuwa inachukuliws kuvunjiwa heshima na source ya tukio uliloweka kama chanzo cha yeye kuanza kunyoa ni sababu uliyotaja .Nikama ilivyo kuwa kwenye kinyoa kipara zamani ilikuwa ni kama kujivunjia heshima au kuvunjiwa heshimq ..ndiyo maana Muhammad alipo kuja na wahy wa waislamu wanyoe ilileta ubishi hadi swahaba mmoja akamshauri Muhammad kuwa yeye Muhammad na awe wa kwanza kufanya hivyo ndiyo uma wa waislamu wakakubali baada ya Muhammad kunyoa ...
Wengi wao hawajui kuzitunzaNi uamuzi wako , mada imeFocus kuwasema wale ambao wanawabeza na kuwakejeli wake walioamua kufuga ndevu
Mkuu, ndevu hazihusiani na uovu..Kwa hiyo wote wenye ndevu ni watakatifu na wote waovu ni wasio na ndevu ...yesu akasema hata nyinyi bado ni wajinga ..amjui kuwa chakula uingia kinywani kisha utupwa chooni...yanayo mtia mtu dhambi ni yatokayo moyoni.
Haya maneno umeyatoa wapi?Nikama ilivyo kuwa kwenye kinyoa kipara zamani ilikuwa ni kama kujivunjia heshima au kuvunjiwa heshimq ..ndiyo maana Muhammad alipo kuja na wahy wa waislamu wanyoe ilileta ubishi hadi swahaba mmoja akamshauri Muhammad kuwa yeye Muhammad na awe wa kwanza kufanya hivyo ndiyo uma wa waislamu wakakubali baada ya Muhammad kunyoa ...
Lete huo ushahidi mkuu😂Nikama ilivyo kuwa kwenye kinyoa kipara zamani ilikuwa ni kama kujivunjia heshima au kuvunjiwa heshimq ..ndiyo maana Muhammad alipo kuja na wahy wa waislamu wanyoe ilileta ubishi hadi swahaba mmoja akamshauri Muhammad kuwa yeye Muhammad na awe wa kwanza kufanya hivyo ndiyo uma wa waislamu wakakubali baada ya Muhammad kunyoa ...
Nadhan anachanganya kidogo.Haya maneno umeyatoa wapi?
Lete aya inayotoa maamrisho Kwa mtume ili anyone ndevu
Of course.Unachukia ndevu kwa sababu umeshindwa kulinda mgongo wako na ni mwanaharakati wa mambo ya usodoma
Rangi nyeusi haina uhusiano na kujitofatisha na wengine , bali Ina mahusiano zaidi na kukataza watu kuukimbia uzee kwa kuondoka mvi , sababu mvi ni ishara kuwa umri umeenda na mtu anatakiwa kuzidisha matendo mema na kujiandaa zaidi na akhera .Nadhan anachanganya kidogo.
Mtume alisema msinyoe ndevu na mpunguze masharubu.
Na kama mnapaka piko basi iwe nyekundu au njano na sio nyeusi.
Ili mjitofautishe na Makafiri.
Ila kwenye nywele za kichwani alichoongelea ni kwa kama unanyoa nyoa zote au kama unafunga fuga ..ila sio kunyoa upande mmoja zaid na ukaacha mwingine.
tunaita Denge au panki(hii ni haram /dhambi).
ilo la ndevu hata Biblia imeandika.
Kwahiyo kama una ndevu kuachia au kunyoa sio dhambi/haram kwa wote kikristo au kiislam.