Hivi ndivyo maandiko ya Biblia yanavyosema kuhusu wanaume kuwa na kufuga 'ndevu'

Lete huo ushahidi mkuu😂
Ushahidi upokwenye biblia hata kwenye msahafu..huu ni kwenye biblia....

2 Wafalme 2:23–24
Elisha alipokuwa akipanda kwenda Betheli, vijana wadogo wakatoka mjini, wakamdhihaki, wakamwambia, “Paa juu, mwenye kipara; paa juu, mwenye kipara!”
Elisha akageuka, akawaangalia, akawalaani kwa jina la BWANA. Kisha dubu wawili wakatoka mwituni na kuwararua vijana arobaini na wawili.
 
Akileta ushahidi unaoleweka kuhusiana na Hilo najitoa Jf
Huu ni kwenye biblia sasa niambie nilete kwenye msahafu nikuonyeshe kama hauja kimbia huzi wako...

2 Wafalme 2:23–24
Elisha alipokuwa akipanda kwenda Betheli, vijana wadogo wakatoka mjini, wakamdhihaki, wakamwambia, “Paa juu, mwenye kipara; paa juu, mwenye kipara!”
Elisha akageuka, akawaangalia, akawalaani kwa jina la BWANA. Kisha dubu wawili wakatoka mwituni na kuwararua vijana arobaini na wawili.
 
Ndevu ni usenge.

Ni anasa.
Bro Kwenye masuala ya dini na sunna.

Ww huyawezi.

kama ndio unafikiria hivi.
Basi fikiria na hili pia.

Je Kuweka njano au nyekundu kuna faida gan?.

Alafu fikiria na hili.
Kuna mtu ana miaka 30 na ana mvi.
Kwahiyo asiweke hina/piko njeusi kwa kusema eti atajiona kijana. Wakati kwa uhalisia ni kijana.

Mzee wa miaka 60. Tayar ana mvi. Akaweka piko. Je atakuwa na nguvu ya ujana?.

soma na fikiria mara 2 mbili bro wangu. Alafu nijibu
 
Lete huo ushahidi mkuu😂
Ushahidi kutoka msahafu wa mudi boy..

1. Kisa chenyewe kilitokeaje?
Mwaka wa 6 Hijria (takribani mwaka 628 BK), Muhammad na Maswahaba wake walitoka Madina kuelekea Makka kwa nia ya kufanya Umra. Hata hivyo, Wakurayshi waliwazuia kuingia Makka, na hatimaye wakafanya mkataba wa amani uliojulikana kama Mkataba wa Hudaybiyyah.
Miongoni mwa masharti yaliyokubaliwa ilikuwa kwamba Waislamu warudi Madina mwaka huo bila kufanya Umra, kisha waruhusiwe kurudi mwaka uliofuata.
Muhammad aliwaagiza Maswahaba wake wachinje wanyama wa sadaka na wanyoe vichwa vyao ili kukamilisha ibada yao ya wakati huo.
2. Kwa nini Maswahaba walichelewa kutekeleza agizo hilo?
Kwa mujibu wa riwaya katika Sahih al-Bukhari, Hadithi ya 2731–2732, Muhammad alipotoka baada ya kukamilika kwa mkataba, aliwaambia Maswahaba wake wachinje wanyama wao na wanyoe vichwa vyao.
Hata hivyo, hawakuinuka mara moja kutekeleza agizo hilo. Muhammad alirudia agizo lake, lakini bado hawakuchukua hatua.
Kisha akaingia kwenye hema lake na kumweleza Umm Salama yaliyokuwa yametokea. Umm Salama alimshauri atoke nje bila kusema chochote zaidi, achinje mnyama wake wa sadaka na amwite kinyozi ili anyoe kichwa chake.
Muhammad alifanya hivyo. Maswahaba walipoona kitendo chake, walianza kusimama, wakachinja wanyama wao na kunyoa vichwa vyao.
 
Akileta ushahidi unaoleweka kuhusiana na Hilo najitoa Jf
Ushahidi kutoka kwa Allah na Mudi boy...

Lete kwenye msahafu Kwani wewe si umemzungumzia Muhammad mkuu. Kama Muhammad amezingumzkwa kwenye biblia sawa lakini kama hajazungumziwa maana yake haya ulioleta hapa umetunga
 
Hizo hadithi naifahamu alhamdulillah ila nimekuuliza Kwasababu najua alichokiandika yeye hapa hakipo na amezua ndy mana.
 
Huoni kama upo kinyume na Madai yako ?

Wewe ulidai kuwa waliona kunyoa nywele ni udhalilishaji halafu source uliyoleta haisemi hivyo inaleta sababu nyingine, huoni kama umepuyanga ?
 
Huoni kama upo kinyume na Madai yako ?

Wewe ulidai kuwa waliona kunyoa nywele ni udhalilishaji halafu source uliyoleta haisemi hivyo inaleta sababu nyingine, huoni kama umepuyanga ?
Kutokuwa na nywele au ndevu ilikuwa kidesturi inachukuliwa kama kitu cha aibu .. kiko kisa kingine ningeweza kukuletea ila naona napoteza muda kuelimisha zuzu...nimekupa hadi ndani ya msahafu ujaweza kuelewa .. kama hicho kisa cha waislamu umeshindwa kukielewa basi tena kakojoe ulale....kisa kiko wazi .. wewe unadhani kwanini maswahaba walikuwa wagumu kunyoa ..au unadhani maswahaba walikuwa na utii wa kipumbavu kama wake kwa Muhammad...tumia akili yako vizuri kujua kwanini waislamu nguri maswahaba walitatizika sana kuambiwa wanyoe..
 
Sisi hatukatai wewe kusema maswahaba walikuwa wagumu kunyoa ndevu mbaka mtume anyoe Sasa ndy utule ushahidi inapatika katika sura gani aya nambari ngapi au kama ni hadithi hadithi gani mpokezi ni nani na ni hadithi nambari ngapi ili tuthibitishe wewe sio muongo unless otherwise uwe umejitungia au umedanganywa na wasiojua wenzio.
NB: wewe umepewa ushahidi Moja Kwa Moja umetajiwa Hadi vinapatikana wapi Sasa na wewe utuambie mkuu 😂
 
We chizi soma nyuma huko nimeleta hayo yote usinipotezee muda wangu bure.
 
ngorokori soma hapa
 
ngorokori soma hapa
 
Kwa mujibu wa biblia mimi nilivyo ona kikwamba hutakiwi kuzichonga lakini unaweza kuzifuga kwa maana mwanaume kuwa na ndevu ni fahari
Zaburi 133:2
Ni kama mafuta mazuri kichwani, yashukayo ndevuni, ndevu za Haruni, yashukayo mpaka upindo wa mavazi yake."
 
Sasa hapo kwenye hayo maandishi yako Kuna kunyoa ndevu?
Tumia akili nini tunazungumzia ..kwani kuna muislamu asiye nyoa ndevu Nitajie mmoja ....hoja ni kufuga ndevu siyo kunyoa maana kuonyoa wote wananyoa hata mudi boy alinyoa.
 
Tumia akili nini tunazungumzia ..kwani kuna muislamu asiye nyoa ndevu Nitajie mmoja ....hoja ni kufuga ndevu siyo kunyoa maana kuonyoa wote wananyoa hata mudi boy alinyoa.
Alafu kitu nilichojifunza kutoka kwako ukibanwa sana Kwa hoja unashindwa kulinda mgongo unakimbilia matusi. Mkuu wewe jibu swali uliloulizwa katika hayo maandishi yako Kuna sehemu umeandika kuhusu ndevu tu au neno ndevu lipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…