Wewe hata mjadala unavyo kwenda kilogic umeshindwa kuelewa ndiyo maana mleta uxi kakimbia umebaki wewe shabiki tu ...NIMEKUPA LOGIC NIKAKUAMBIA KUWA HATA MUHAMMAD KANYOA SANA NDEVU NA NYWELE NK HAKUNA MTUME WALA NABII AMBAYE AJAWAHI KUNYOA NYWELE AU NDEVU ...KWANZA JIFUNZE TOFAUTI YA KUNYOA NDEVU NA KUFUGA NDEVU .. AU WEWE KWA AKILI ZAKO FINYU UNADHANI WENYE KUFUGA NDEVU AWANYOI.... Zamani kuonyoa nywele yote kipara na kunyoa ndevu zote iiikuwa ki kitu cha aibu kwa mwanaume na wala siyo dhambi...hata sasa waarabu wanyanyoa ndevu..kuwa na ndevu akumaanishi kuwa uzinyoi..tumia akili ...maswahaba walitatizika si kwa sababu walikuwaga awanyoi nywele bali kwa sababu walitakiwa na MUHAMMAD kunyoa kipara.Alafu kitu nilichojifunza kutoka kwako ukibanwa sana Kwa hoja unashindwa kulinda mgongo unakimbilia matusi. Mkuu wewe jibu swali uliloulizwa katika hayo maandishi yako Kuna sehemu umeandika kuhusu ndevu tu au neno ndevu lipo?
Mkuu umeleta ushahidi lakini katika ushahidi wako hakuna sehemu iliotaja ndevu hata mara moja then unasema ushahidi huohuo ndy wa Muhammad kunyoa ndevu Sasa mbona unakuwa kama katuga kiongozi?. Then mtu anaweza akafuga ndevu zikawa kubwa sana na anaruhisiwa kupunguza lakini sio kunyoa. Sasa sijui logic yako ipo wapi yaani ni sawa na mtu kusema nimeibiwa na mtu Fulani then asitaje jina la huyo mtu kwenye huo ushahidi. Umesema umesema huo ndy ushahidi wako kuonyesha Muhammad Ali yoa ndevu then katika huo ushahidi wako hakuna neno kunyoa ndevu Sasa Kwa namna hii katuga aruhisiwi kulaumiwa kabisa. Tumia ubongo mkuu usitumie hisia Bado sijaona logic yako kabisaaaWewe hata mjadala unavyo kwenda kilogic umeshindwa kuelewa ndiyo maana mleta uxi kakimbia umebaki wewe shabiki tu ...NIMEKUPA LOGIC NIKAKUAMBIA KUWA HATA MUHAMMAD KANYOA SANA NDEVU NA NYWELE NK HAKUNA MTUME WALA NABII AMBAYE AJAWAHI KUNYOA NYWELE AU NDEVU ...KWANZA JIFUNZE TOFAUTI YA KUNYOA NDEVU NA KUFUGA NDEVU .. AU WEWE KWA AKILI ZAKO FINYU UNADHANI WENYE KUFUGA NDEVU AWANYOI.... Zamani kuonyoa nywele yote kipara na kunyoa ndevu zote iiikuwa ki kitu cha aibu kwa mwanaume na wala siyo dhambi...hata sasa waarabu wanyanyoa ndevu..kuwa na ndevu akumaanishi kuwa uzinyoi..tumia akili ...maswahaba walitatizika si kwa sababu walikuwaga awanyoi nywele bali kwa sababu walitakiwa na MUHAMMAD kunyoa kipara.
Wewe hata mjadala unavyo kwenda kilogic umeshindwa kuelewa ndiyo maana mleta uxi kakimbia umebaki wewe shabiki tu ...NIMEKUPA LOGIC NIKAKUAMBIA KUWA HATA MUHAMMAD KANYOA SANA NDEVU NA NYWELE NK HAKUNA MTUME WALA NABII AMBAYE AJAWAHI KUNYOA NYWELE AU NDEVU ...KWANZA JIFUNZE TOFAUTI YA KUNYOA NDEVU NA KUFUGA NDEVU .. AU WEWE KWA AKILI ZAKO FINYU UNADHANI WENYE KUFUGA NDEVU AWANYOI.... Zamani kuonyoa nywele yote kipara na kunyoa ndevu zote iiikuwa ki kitu cha aibu kwa mwanaume na wala siyo dhambi...hata sasa waarabu wanyanyoa ndevu..kuwa na ndevu akumaanishi kuwa uzinyoi..tumia akili ...maswahaba walitatizika si kwa sababu walikuwaga awanyoi nywele bali kwa sababu walitakiwa na MUHAMMADletaAlafu kitu nilichojifunza kutoka kwako ukibanwa sana Kwa hoja unashindwa kulinda mgongo unakimbilia matusi. Mkuu wewe jibu swali uliloulizwa katika hayo maandishi yako Kuna sehemu umeandika kuhusu ndevu tu au neno ndevu lipo?
Sasa wewe leta Ushahidi kuwa kunyoa ndevu ni dhambi ...mbona hadi leo wasaudi unyoa ndevu ..unataka kuniambia Saudi Arabia hakuna vinyozi wa ndevu... your too stupid.Mkuu umeleta ushahidi lakini katika ushahidi wako hakuna sehemu iliotaja ndevu hata mara moja then unasema ushahidi huohuo ndy wa Muhammad kunyoa ndevu Sasa mbona unakuwa kama katuga kiongozi?. Then mtu anaweza akafuga ndevu zikawa kubwa sana na anaruhisiwa kupunguza lakini sio kunyoa. Sasa sijui logic yako ipo wapi yaani ni sawa na mtu kusema nimeibiwa na mtu Fulani then asitaje jina la huyo mtu kwenye huo ushahidi. Umesema umesema huo ndy ushahidi wako kuonyesha Muhammad Ali yoa ndevu then katika huo ushahidi wako hakuna neno kunyoa ndevu Sasa Kwa namna hii katuga aruhisiwi kulaumiwa kabisa. Tumia ubongo mkuu usitumie hisia Bado sijaona logic yako kabisaaa
Nikileta utakubari na kutulia mkuu na kukiri kuwa wewe ni muongo na unazua mambo?Wewe hata mjadala unavyo kwenda kilogic umeshindwa kuelewa ndiyo maana mleta uxi kakimbia umebaki wewe shabiki tu ...NIMEKUPA LOGIC NIKAKUAMBIA KUWA HATA MUHAMMAD KANYOA SANA NDEVU NA NYWELE NK HAKUNA MTUME WALA NABII AMBAYE AJAWAHI KUNYOA NYWELE AU NDEVU ...KWANZA JIFUNZE TOFAUTI YA KUNYOA NDEVU NA KUFUGA NDEVU .. AU WEWE KWA AKILI ZAKO FINYU UNADHANI WENYE KUFUGA NDEVU AWANYOI.... Zamani kuonyoa nywele yote kipara na kunyoa ndevu zote iiikuwa ki kitu cha aibu kwa mwanaume na wala siyo dhambi...hata sasa waarabu wanyanyoa ndevu..kuwa na ndevu akumaanishi kuwa uzinyoi..tumia akili ...maswahaba walitatizika si kwa sababu walikuwaga awanyoi nywele bali kwa sababu walitakiwa na MUHAMMADleta
Sasa wewe leta Ushahidi kuwa kunyoa ndevu ni dhambi ...mbona hadi leo wasaudi unyoa ndevu ..unataka kuniambia Saudi Arabia hakuna vinyozi wa ndevu... your too stupid.
Wewe ni zuzu kwenye biblia yupo samson iliamliwa asinyolewe nywele ila siyo dhambi kunyoa ...yeye huyu nguvu zake ziliwekwa kwenye miiko ya kutokunyoa nywele ..leta kwenye msahafu kuwa waislamu walikuwa awanyoi ndevuNikileta utakubari na kutulia mkuu na kukiri kuwa wewe ni muongo na unazua mambo?
Weka Ushahidi wa msahafu nakupa milioni 10Huu ni kwenye biblia sasa niambie nilete kwenye msahafu nikuonyeshe kama hauja kimbia huzi wako...
2 Wafalme 2:23–24
Elisha alipokuwa akipanda kwenda Betheli, vijana wadogo wakatoka mjini, wakamdhihaki, wakamwambia, “Paa juu, mwenye kipara; paa juu, mwenye kipara!”
Elisha akageuka, akawaangalia, akawalaani kwa jina la BWANA. Kisha dubu wawili wakatoka mwituni na kuwararua vijana arobaini na wawili.
Hakuna source inayoonyesha walisita kunyoa kisa ni tendo la fedhea bali source zinasema kisa ni kutoridhika na mkataba .Kutokuwa na nywele au ndevu ilikuwa kidesturi inachukuliwa kama kitu cha aibu .. kiko kisa kingine ningeweza kukuletea ila naona napoteza muda kuelimisha zuzu...nimekupa hadi ndani ya msahafu ujaweza kuelewa .. kama hicho kisa cha waislamu umeshindwa kukielewa basi tena kakojoe ulale....kisa kiko wazi .. wewe unadhani kwanini maswahaba walikuwa wagumu kunyoa ..au unadhani maswahaba walikuwa na utii wa kipumbavu kama wake kwa Muhammad...tumia akili yako vizuri kujua kwanini waislamu nguri maswahaba walitatizika sana kuambiwa wanyoe..
Sasa Kwani samsoni alivyokatazwa asinyoe nywele inamaana kwenu ni amri kuto kunyoa nywele? na mkinyoa ni jambo BAYA kwenu?. Je katika biblia ipo sehemu inayosema nyoeni ndevu zenu?. ili tujue kuwa unawapiga vita waislamu kufuga ndevu Kwasababu ni amri kutoka kwenye biblia na sio matakwa yako. Na kama sio hvy maan yake ni chuki binafsi.Hakuna source inayoonyesha walisita kunyoa kisa ni tendo la fedhea bali source zinasema kisa ni kutoridhika na mkataba .
Wewe kilaza jiulize kama walikuwa wanaona fedhea waliwezaje kufungua safari kwenda wakati wanajua kwenye hiyo ibada watanyoa vichwa vyao ?
Mpaka sasa haujaweka source inayosema sababu ya kusita kunyoa ni kuona fedhea bali unatumia dhana zako batili tu , Maarass!!
Tumia akili wewe akii zako ni finyu ...kuna siku nilisema kuwa uislamu unasema waislamu mtakuwa kama povu la bahari ..maana yake mtakuwa kama uchafu wa mizoga inayo sababisha povu ..mkabishq kuwa huo msemo siyo maana yake hiyo.Hakuna source inayoonyesha walisita kunyoa kisa ni tendo la fedhea bali source zinasema kisa ni kutoridhika na mkataba .
Wewe kilaza jiulize kama walikuwa wanaona fedhea waliwezaje kufungua safari kwenda wakati wanajua kwenye hiyo ibada watanyoa vichwa vyao ?
Mpaka sasa haujaweka source inayosema sababu ya kusita kunyoa ni kuona fedhea bali unatumia dhana zako batili tu , Maarass!!
Sasa ni jibu maswali yangu ...kwa nini waislamu karibu wote mnanyoa ndevu ? ..je hao waislamu wanaonyoa ndevu ni waislamu au ni makafiri ...je ni kwanini wanaruhusiwa kuingia misikitini japo wananyoa ndevu ....je kwenye msikiti unao abudu wewe hakuna muislamu anyoaye ndevu ...nataka majibu ya haya maswali kwanza kabla ya kuendelea na mjadala huu maana nyinyi makafiri wa misikitini ni wanafiki sana..Hakuna source inayoonyesha walisita kunyoa kisa ni tendo la fedhea bali source zinasema kisa ni kutoridhika na mkataba .
Wewe kilaza jiulize kama walikuwa wanaona fedhea waliwezaje kufungua safari kwenda wakati wanajua kwenye hiyo ibada watanyoa vichwa vyao ?
Mpaka sasa haujaweka source inayosema sababu ya kusita kunyoa ni kuona fedhea bali unatumia dhana zako batili tu , Maarass!!
Mtu kufanya kosa haimaanishi Hilo kosa limehalalishwa mkuu. Kwani Kuna wazinifu wangapi ambao ni wakristo na waisalam Kwani Kwa kufanya kwao zinaa ndy kunahalalisha uzinifu?.Sasa ni jibu maswali yangu ...kwa nini waislamu karibu wote mnanyoa ndevu ? ..je hao waislamu wanaonyoa ndevu ni waislamu au ni makafiri ...je ni kwanini wanaruhusiwa kuingia misikitini japo wananyoa ndevu ....je kwenye msikiti unao abudu wewe hakuna muislamu anyoaye ndevu ...nataka majibu ya haya maswali kwanza kabla ya kuendelea na mjadala huu maana nyinyi makafiri wa misikitini ni wanafiki sana..
Hapa chini ni takwimu kuonyesha makadirio ya idadi ya wanaume wenye ndevu duniani.Mtu kufanya kosa haimaanishi Hilo kosa limehalalishwa mkuu. Kwani Kuna wazinifu wangapi ambao ni wakristo na waisalam Kwani Kwa kufanya kwao zinaa ndy kunahalalisha uzinifu?.
Swali lako la mwanzo linasema kwanini karibu takribani WAISLAMU wote wananyoa ndevu ( Kabla ya kujibu hili swali lenye uongo ndani yake Mimi naomba uniambie hizi takwimu umezipatia wapi? Naomba source yake tuone ni Kwa asilimia ngapi?)
2. Mtu awi kafiri Kwa kunyoa ndevu ila anapata dhambi.
3.wapo lakini kufanya kwao hakuhalalishi kunyoa ndevu Kwasababu wanakosea
Umewaona viongozi wa Orthodox church na midevu yao.Hayo ni maandiko ya Wayahudi, sio ya Wakristo
Shida mnatuchanganya haya maandishi uliyoyaleta umetoa kwenye ile biblia halisi au hi hii hii mnayoisema imechakachuliwa?Moja kwa moja...
Msukumo wa kuandika mada hii nimeupata baada ya kuona mara kwa mara member wa Jf Echolima1 na wengineo baadhi wanaojinasibisha na Imani ya kikirsto kukashifu vibaya ufugaji wa ndevu kisa Waislamu ndio sehemu yao ya dini na ni jambo wanalopenda sana , imefikia hatua ya kutoa maneno ya kejeli na dhihaka kwa Mwanaume kufuga ndevu jambo hilo ndilo likanifanya nije na huu Uzi ili kuelimisha kuhusiana na swala hilo ..
Echomali kwenye uzi mmoja nilimuuliza inakuwaje unakashifu muonekano wa Kiume upo sawa kweli genotypically wakati hata Mitume na Manabii wa kale ambao wakristo pia wanawakubali walikuwa na ndefu na maandiko yana suggest hivyo ? Jamaa akaendelea ubishi na ujeuri eti hayo maandiko nimetoa kwa Gaidi Ayatollah , sasa naweka rasmi hayo maandiko kisha yeye na wana Jf mseme ni yametoka kweli kwa Gaidi Ayatollah ?View attachment 3687826
1. Sheria na Maagizo kwa WanaIsraeli kuhusu ndevu
Walawi 19:27: "Msinyoe denge pembe za vichwani, wala msiharibu pembe za ndevu zenu."
Walawi 21:5: "Wasijipatie upara kichwani, wala wasinyoe pembe za ndevu zao, wala kujikatakata miili
2 . Ishara ya heshima , Dharau na FedhehaView attachment 3687830
Ezra 9:3: "Basi niliposikia neno hili, nilirarua vazi langu na joho langu, nikang'oa nywele za kichwani mwangu na za ndevu zangu, nikaketi nikiwa nimeshangaa
3. Maandiko mengine ya Bible ikionyesha Manabii walikuwa na ndevu .
Hili tukio linalomuhusu Daudi na linaonyesha alikuwa na ndevu View attachment 3687838
Maandiko na matukio na Ushahidi upo mwingi kufupisha Uzi naishia hapa na nakaribisha mijadala na hoja zote
#UziTayari
Sio mgongo tena?Mwanaume linda ndevu zako maana ndiyo utambulisho wako
Moja kwa moja...

Biblia haikatazi kufuga ndevu. Katika Agano la Kale (Mambo ya Walawi 19:27), Waisraeli walikatazwa kunyoa pembe za ndevu zao kama walivyofanya mataifa ya kipagani. Katika Uislamu, kufuga ndevu na kupunguza masharubu ni amri na Sunnah iliyosisitizwa sana na Mtume Muhammad (S.A.W) ili kutofautiana na wasio Waislamu..............kwahiyo siimba na yanga zote ni timu
Kama mwanake akienda na kimini msikitini anazuiwa kwa nini wenye kunyoa ndevu wasizuiweMtu kufanya kosa haimaanishi Hilo kosa limehalalishwa mkuu. Kwani Kuna wazinifu wangapi ambao ni wakristo na waisalam Kwani Kwa kufanya kwao zinaa ndy kunahalalisha uzinifu?.