Hivi ndivyo maandiko ya Biblia yanavyosema kuhusu wanaume kuwa na kufuga 'ndevu'

Mbona unakimbia baada ya kubanwa mbavu uongo wako kufichuliwa ndugu kilaza ?

Kama hauna ushahidi wa yale uliyoombwa kubali kuwa ulikurupuka na muongo ndipo mijadala mwingine ufunguliwe , hatuwezi kujadiliana kwa kukimbia hovyo na kuruka hoja za msingi .

Wewe ulidai Maswahaba walikataa kunyoa kisa kunyoa ni Fedheha weka hiyo source ikitaka sababu ilikuwa huyo , full stop
 
Kama mwanake akienda na kimini msikitini anazuiwa kwa nini wenye kunyoa ndevu wasizuiwe
Mwanaume Sheria anamlazimisha kuswali msikitini na mwanamke kisheria kwake sio lazima kuswali msikitini. na ukiangalia swala ndy ibada ya kwanza kwa umuhimu zaidi kuliko ibada yeyote Ile.

kwahiyo huwezi kumwambia mtu aache kuingia msikitini Kwasababu Hana ndevu na ilhali analoenda kufanya linauzito zaidi kuliko kufuga ndevu. lakini pia kuwaacha wanaume wanaonyoa ndevu bila kuwapa ujumbe itakuwa ni kosa pia.
Then kuhusu wanawake kuingia msikitini na kimini unatakiwa kujua watu hawaruhusu Kwasababu hio ibada Ina sharti zake na Moja ya sharti zake ni kuwa huwezi kufanya ibada Ukiwa upo uchi.
lakini unaweza kuswali hata kama huna ndevu.
Lakini pia mwanamke hajalazimishwa kuswali msikitini kama ilivyo Kwa mwanaume alivyolazimishwa kwahiyo atarudishwa kwenda kuswali nyumbani Kwasababu Sheria imemlinda na kumkataza kutembea ovyo barabarani.
Mwisho niseme Mimi sipendi kubishana Kwasababu ya dini lakini pia sipendi mtu kuleta udini mbele yangu Kwasababu tu anachuki binafsi na dini Fulani. Mimi binafsi ni muislamu lakini sijawahi hata mara moja kumtusi asiekuwa muislamu na naishi nao na dada yangu mkubwa wa kwanza kuzaliwa Kwa baba ni Christian lakini naishi nae vizuri na hatumbagui.
Acha udini, utakutesa ufe mapema na kukufanya uwe muongo ili uwachafue watu wa dini fulani.
Nasema inatosha sioni haja ya kuendelea na hili Kwasababu kama hujaelewa hapa naamini hautaelewa Tena.
 
Ulivyo mjinga na mpumbavu unafikiri Wakristo ni wajinga na wapumbavu kama wewe!!
 
Ulivyo mjinga na mpumbavu unafikiri Wakristo ni wajinga na wapumbavu kama wewe!!
Nimekuuumbua nimeleta maandiko sasa hauna hoja umebakiza mipasho tu
 
Tumia akili zako vizuri!! Wayahudi si Wakristo!! Wafuga Midevu na Majini wana utindio wa ubongo!!
 
Tumia akili zako vizuri!! Wayahudi si Wakristo!! Wafuga Midevu na Majini wana utindio wa ubongo!!
Mimi nimedai wakristo au point yangu ilikuwa maandiko ya bible ?
 
Usijifanye kujua kuchamba kuzidi waarabu mwishowe utashika mavi tu!!

Kwa hiyo usijifanye wewe kuijua Biblia kuliko Wakristo wenyewe utaonekana tu wewe ni Mjinga na Mpumbavu tu!!!

Wafuga midevu na majini ni janga la dunia!!
 
1.Mimi ndy bwana mungu wako, usiwe na miungu mengine ila Mimi.
2.usijifanyie sanamu ya kuchonga Wala mfano wa kitu chochote.
3.usilitaje Bure jina la bwana wa mungu wako.
4.ikumbuke siku ya sabato uitakase.
5.waheshimu baba yako na mama yako.
6.usiue.
7.Usizini.
8.Usiibe.
9.Usimshuhudie jirani yako uongo.
10.usitamani nyumba ya jirani yako,Wala mke wa jirani yako,Wala chochote cha jirani yako.
Kiongozi haya yote walishushiwa wayahudi kupitia mtume wao mussa. Sasa naomba unijibu jibu Moja tu je nyinyi wa kristo haya mafunzo mnayafata au hamuyafati na ikiwa mnayafata naomba nikuulize swali je wewe ni myahudi?
 
Nashindwa kukujibu kwa sababu duniani kuna miungu wengi kuna akina Allah,budha na wengine wengi tu!!

Umeongelea kwenye Biblia pia wako wawili yuko Mungu na mungu sasa kwa taarifa yako tu sisi kama Wakristo hatumwamini huyo mungu uliyemwandika hapo juu!!

Kwa hiyo acha kiherehere kujifanya unaujua Ukristo kuliko Wakristo wenyewe utaangukia pua tu!!
 
Nimekuuliza swali haya mambo mnayafata au hamyafati kama mnayafata je yalishusha Kwasababu ya wayahudi au wakristo? Jibu swali kwanza acha kukimbia kama Malaya kaona dushe kubwa?
 
Nimekuuliza swali haya mambo mnayafata au hamyafati kama mnayafata je yalishusha Kwasababu ya wayahudi au wakristo? Jibu swali kwanza acha kukimbia kama Malaya kaona dushe kubwa?
Acha ujinga wakristo hawamuamini huyo mungu wako uliyemuandika hapo!!

Ujinga huo nenda ukadanganyane na akina Mazinge na Sheikhe wako Kipizeo!!
 
Acha ujinga wakristo hawamuamini huyo mungu wako uliyemuandika hapo!!

Ujinga huo nenda ukadanganyane na akina Mazinge na Sheikhe wako Kipizeo!!
Unakimbia Kimbia sana jibu swali unaumizwa hizo Sheria mnazifata au hamzifati?. Mimi sijaandika kuhusu mungu nimeandika kuhusu hizo Sheria je mnazifata au hamzifati
 
Unakimbia Kimbia sana jibu swali unaumizwa hizo Sheria mnazifata au hamzifati?. Mimi sijaandika kuhusu mungu nimeandika kuhusu hizo Sheria je mnazifata au hamzifati
Aliyekuambia Wakristo wanafuata sheria amekudanganya hata hivyo huyo mungu sisi hatumuamini maana ni shetani kabisa!!

Biblia ni ya Wakristo wao ndiyo wanaijua kuliko wewe ambaye ni Mfuga Midevu na Majini huwezi kuelewa lolote sana sana utabwabwaja tu bila kujua kujua!!
 
Sawa kama bivlia ni ya wakristo na sio ya wayahudi kwanini mnafata utaratibu ambao walipewa wayahudi?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…