Robert Heriel Mtibeli ..huyu jamaa ana kitu atafika mbali
Ukitoa kazi yangu ya utabibu sijawahi jua nina mchango kwa watu humu asante sana mkuu..Mkuu una mchango mkubwa sana kwangu..
Mana kipindi hiko nipo adv kuna nyuzi flan hvi kule jukwaa la elimu aiseeee..
Wee jamaa na physics kama ishirini na twenty amaana ulikua unachora na michoro kabisa ukiwa una solve maswali ya rigidy body
Ahahahahahah kweli hadi mi nimeona kwa sasa kazi kazi.Ukitoa kazi yangu ya utabibu sijawahi jua nina mchango kwa watu humu asante sana mkuu..
Kikubwa huwa napenda utani humu. Na sasa nashindwa majukumu yamenizidia
Acha woga mtoto wa kiume,kufuru ipo kwa wajinga tu ila werevu hawana ujinga wa kitu kinaitwa kufuru,Unataka niingie kwenye kufuru mkuu kwa hapo umenikosa....
Ukiendelea mkuu nakukula blok
Imani?Weee jamaaa huko juu utakaangwa wee endelea na imani zako za ajabu
πππππππYule jamaa aiseee ni mbishi sasa assume yule jamaa kawapangua watu kibao na mpaka sasa bado kashikilia bendela ya dunia tambarare.
Ukigusa ule uzi kwanza una flashiwa ..kama ulikuja na geography yako ya form one utoboi
Duuuh ujue mi na wewe tunatofautiana hapa...Acha woga mtoto wa kiume,kufuru ipo kwa wajinga tu ila werevu hawana ujinga wa kitu kinaitwa kufuru,
Hata Lord Jesus Christ katika Moja ya text jews walidai anakufuru kwa kua waliambiwa kitu ambacho hawapendi kuambiwa kwa sababu ya morals na dogmas walizojiwekea ila uhalisia hizo akili hazipo kwa lengo la kulimitiwa na jambo fulani ila inahitaji uhuru wa fikra ili ujitoe kwenye mnyororo wa ujinga think twice!
Daaah yaani mkuu unanichanganya tuu hapa aiseeee....Imani?
What the fvc fun dude,
Yaani maswala historical ni imani be serious haujui kutofautisha imani na historia?
Toka nje ya box hakuna juu wala chini ambako nitaenda kaangwa sababu naijua kweli nayo imeniweka huru!
Kiufupi huo moto Sio moto kama unavyofikiria yaani fire no broo,Duuuh ujue mi na wewe tunatofautiana hapa...
Wewe kichwani una mambo mengi na processer yako ukute ni 5GHz sasa huko mi sijafika mkuu ndo mana nakua nipo weak kwa hayo mambo...
Hapa ni kupeana elimu tu mwanzo mwisho ili tujue mkuu..
Sema tukija kwa u serious moto upo tena ni ule wa blue non luminous flame take it...
Dumas the terrible unaweza mshawishi mtu aanze kufanya mambo ya hovyo ahahahahhah daaah ......Kiufupi huo moto Sio moto kama unavyofikiria yaani fire no broo,
Bible inaelezea moto wa Jehanum kama mfano tu sababu hio Jehanum lilikua ni dampo la kuchomea takataka lililokua nje ya mji wa Jerusalem hapo kale na dampo hilo liliwaka moto almost kipindi cha Mwaka mzima kutokana na hilo Israelites walitumia kuelezea mfano wake ufankwa watu kwamba if your soul lost in darkness spiritual inakua Motoni mfano wa Jehanum milele so hapo wa masimulizi ya moto yalipoingia katika mythology za wayahudi
Ila kiuhalisia hapo ilitumika lugha ya picha kulingana na Mazingira ya kipindi hicho mkuu usiogope kujifunza!
Karibu Fundi manyumba
ππ