Ndugu zangu Watanzania,
Baada ya hapo jana Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kutema cheche na kuteka anga la kitaifa na kimataifa na kupongezwa kila kona ya Nchi yetu.
Hii leo Magazeti yamepabwa na kutawala na habari za Mheshimiwa Rais na hotuba yake nzito na ya kihistoria aliyoitoa hapo jana
View attachment 3099276View attachment 3099277View attachment 3099278View attachment 3099279View attachment 3099280View attachment 3099281View attachment 3099283
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.