Hivi Ndivyo Rais Samia Alivyopamba na Kutawala Magazeti Yote ya Leo

Ndugu zangu Watanzania,

Baada ya hapo jana Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kutema cheche na kutoa hotuba nzito ya karne na kihistoria na kuteka anga la kitaifa na kimataifa na kupongezwa kila kona ya Nchi yetu.

Hii leo Magazeti yamepambwa na kutawala na habari za Mheshimiwa Rais na hotuba yake nzito na ya kihistoria aliyoitoa hapo jana
View attachment 3099276View attachment 3099277View attachment 3099278View attachment 3099279View attachment 3099280View attachment 3099281View attachment 3099283

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ameonesha dharau kubwa na kutokuwa tayari kuwasikiliza na kuwavumilia wapinzani au wenye mawazo tofauti na yeye. Hii ni dadili ya kiongozi mbovu.
 
Ukitaka kumuua Mbwa mpe jina baya....

Tuendelee kunywa mtori
 
Ameonesha dharau kubwa na kutokuwa tayari kuwasikiliza na kuwavumilia wapinzani au wenye mawazo tofauti na yeye. Hii ni dadili ya kiongozi mbovu.
Yaani awavumilie kwa nia yao ya "SAMIA MUST GO"!! Tena ameshawavumilia sana tu ningekuwa ni mimi wengi wangekuwa wanaongelea nyuma na nondo za mahabusu. Huo ni uhaini kwa mujibu wa sheria za TZ.
 
Angepaswa nayeye ajibu Mbowe must go na sio kusema kuwa wameota mikia.
 
Yanaweza yasiwe matusi direct but yakawa ni maneno Tu ambayo yanachafua serikali na Rais

Hivi uwa unasoma comments zako?

And do you think unawaandika kwenye topic zako wanajisikiaje kuona wanatukanwa kwenye post zako?
Pambana na CHADEMA yako inayoendelea kuteketea na kupoteza muelekeo huko.
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Angepaswa nayeye ajibu Mbowe must go na sio kusema kuwa wameota mikia.
Ndio maana nikakuuliza unajua maana ya usemi wa kuota mkia? Au wewe unafikiri mkia unaota kwenye mwili? 🤣
 
Ndugu zangu Watanzania,

Baada ya hapo jana Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kutema cheche na kutoa hotuba nzito ya karne na kihistoria na kuteka anga la kitaifa na kimataifa na kupongezwa kila kona ya Nchi yetu.

Hii leo Magazeti yamepambwa na kutawala na habari za Mheshimiwa Rais na hotuba yake nzito na ya kihistoria aliyoitoa hapo jana
View attachment 3099276View attachment 3099277View attachment 3099278View attachment 3099279View attachment 3099280View attachment 3099281View attachment 3099283

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Upuuzi mtupu
 
  • Dislike
Reactions: UCD
Ameonesha dharau kubwa na kutokuwa tayari kuwasikiliza na kuwavumilia wapinzani au wenye mawazo tofauti na yeye. Hii ni dadili ya kiongozi mbovu.
Utawavumilaje wapinzani wajinga wajinga wanaovunja sheria kwa makusudi na kuleta lugha za uchochezi,ubaguzi na chuki?
 
Angepaswa nayeye ajibu Mbowe must go na sio kusema kuwa wameota mikia.
Yaani Rais na Amiri Jeshi ajibu kitoto hivyo! Mkuu nenda kwenye maandamano tarehe 23 ili mkatimize ngonjera zenu za "Samia Must Go" lakini angalia usije ukarudi unalia na kusaga meno!
 
Ndugu zangu Watanzania,

Baada ya hapo jana Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kutema cheche na kutoa hotuba nzito ya karne na kihistoria na kuteka anga la kitaifa na kimataifa na kupongezwa kila kona ya Nchi yetu.

Hii leo Magazeti yamepambwa na kutawala na habari za Mheshimiwa Rais na hotuba yake nzito na ya kihistoria aliyoitoa hapo jana
View attachment 3099276View attachment 3099277View attachment 3099278View attachment 3099279View attachment 3099280View attachment 3099281View attachment 3099283

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mwashambwa muda c mrefu atakuja kububujikwa na majozi ya huzuni
 
Gharama pekee ni haki na Sheria zisizo kandamizi, Amani itatawala
 
Yaani Rais na Amri Jeshi ajibu kitoto hivyo! Mkuu nenda kwenye maandamano tarehe 23 ili mkatimize ngonjera zenu za "Samia Must Go" lakini angalia usije ukarudi unalia na kusaga meno!
Acha woga, uvivu na ujinga.
 
Back
Top Bottom