Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ule wao watoe pua zao barabarani kwa hakika watakiona cha mtema kuniYaani Rais na Amri Jeshi ajibu kitoto hivyo! Mkuu nenda kwenye maandamano tarehe 23 ili mkatimize ngonjera zenu za "Samia Must Go" lakini angalia usije ukarudi unalia na kusaga meno!
Sio chawa ni kunguniNani kakwambia kuwa mimi ni chawa.
Pambana na CHADEMA yako inayoendelea kuteketea na kupoteza muelekeo huko.
Nimeshakwambia hangaikia CHADEMA yako.achana na mimi mara mara moja.Siko kwenye Chama chochote
Ila uwe unasoma comments za watu kwenye mada zako
Then ujiulize hao unaowaweka kwenye mada zako unawajenga au unawabomoa?
That's why Katibu Mkuu wako alimjibu musiba alivyosema myika anahusika
Ndugu zangu Watanzania,
Baada ya hapo jana Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kutema cheche na kutoa hotuba nzito ya karne na kihistoria na kuteka anga la kitaifa na kimataifa na kupongezwa kila kona ya Nchi yetu.
Hii leo Magazeti yamepambwa na kutawala na habari za Mheshimiwa Rais na hotuba yake nzito na ya kihistoria aliyoitoa hapo jana
View attachment 3099276View attachment 3099277View attachment 3099278View attachment 3099279View attachment 3099280View attachment 3099281View attachment 3099283
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mndewa Anasifu LoloteHivyo ndio kupambwa?
Mndewa hujui kitu.
Kamati kuu ipi tena? Rais Samia ndio Habari ya Mjini kwa Sasa na anayekonga mioyo ya watanzaniaLeo hayauziki hayo magazeti ila kauli ya kamati kuu Leo au kesho watapiga hela
Kamati kuu ipi tena? Rais Samia ndio Habari ya Mjini kwa Sasa na anayekonga mioyo ya watanzania