Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #41
Acha moshi dogo.Garbage
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha moshi dogo.Garbage
Wewe kibaka tu hakujui mtu huko na kujipendekeza kwako kwa kishambaAcha moshi dogo.
Mimi sijipendekezi dogo.mimi naongea ukweli tu.Wewe kibaka tu hakujui mtu huko na kujipendekeza kwako kwa kishamba
Kidampa tu wewe CCM ina wenyewe na wewe si mmoja wao, nyie ndiyo wa kutolewa kafara tuMimi sijipendekezi dogo.mimi naongea ukweli tu.
Wenye CCM ni wanachama wa CCM ambao nami ni mwanachama wake. CCM haiendeshwi kama Sacco's ya CHADEMA inayomilikiwa na mtu mmoja ambaye amekifanya chama kama kitega uchumi wake.huku Ninyi wengine mkiburuzwa kama mahayawani.Kidampa tu wewe CCM ina wenyewe na wewe si mmoja wao, nyie ndiyo wa kutolewa kafara tu
Wewe Lucas utakuta una maisha magumu sana kila siku kushabikia maisha ya Mzanzibar.Ndugu zangu Watanzania,
Baada ya hapo jana Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kutema cheche na kutoa hotuba nzito ya karne na kihistoria na kuteka anga la kitaifa na kimataifa na kupongezwa kila kona ya Nchi yetu.
Hii leo Magazeti yamepambwa na kutawala na habari za Mheshimiwa Rais na hotuba yake nzito na ya kihistoria aliyoitoa hapo janaView attachment 3099276View attachment 3099277View attachment 3099278View attachment 3099279View attachment 3099280View attachment 3099281View attachment 3099283
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mimi naongea ukweli na siye kushabikia. Mimi ni mzalendo na wakati wote huwaunga mkono wazalendo aina ya Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.Wewe Lucas utakuta una maisha magumu sana kila siku kushabikia maisha ya Mzanzibar.
Ndugu zangu Watanzania,
Baada ya hapo jana Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kutema cheche na kutoa hotuba nzito ya karne na kihistoria na kuteka anga la kitaifa na kimataifa na kupongezwa kila kona ya Nchi yetu.
Hii leo Magazeti yamepambwa na kutawala na habari za Mheshimiwa Rais na hotuba yake nzito na ya kihistoria aliyoitoa hapo janaView attachment 3099276View attachment 3099277View attachment 3099278View attachment 3099279View attachment 3099280View attachment 3099281View attachment 3099283
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Dah! chawa pro max, take care of ur brain Kaka.Umma upi huo? Wenye akili Timamu na wanaojitambua kwa mamilioni yao wapo upande wa Jemedari wetu Kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Kama una matatizo kichwani mwako basi tukana tu ili sheria kali zichukuliwe dhidi yako.maana naona matusi ndio kazi mbayoiweza.Sometimes uwa nadhani wewe jamaa unaandika mambo kama haya Kwa makusudi ili watu watukane serikali wamtukane Rais kwenye comments zako
Unawafahau wanaoteka? Unaweza kuweka ushahidi wako hapa?Africa ni bara la giza na muafrika ni mfano wa shetani,unawezaje kulinda amani kwa kuteka na kuua watu??Nadhani tumepata jibu jana juu ya kiini cha utekaji, cha msingi ni kupunguza maneno na kuanza kujihami wenyewe atakaye fia vitani huyo ni shujaa.
Acha kutapatapa wewe.kwani wewe ni Mungu?HATA MAGUFULI MLIMJAZA UPEPO HIVIHIVI WATANZANIA WAKAMWACHIA MUNGU NA YEYE BILA KUJUA ANAINGIZWA CHA KIKE AKAJIONA MSHINDI DHIDI YA WATANZANIA MWISHO WA SIKU MNAJUA MLICHOMFANYIA.
Nani kakwambia kuwa mimi ni chawa.Hivi kaka wazazi wako wanajua wewe ni chawa gegedu???
Bro unasikitisha sana asee
Kama una matatizo kichwani mwako basi tukana tu ili sheria kali zichukuliwe dhidi yako.maana naona matusi ndio kazi mbayoiweza.