Hivi Ndivyo Rais Samia Alivyopamba na Kutawala Magazeti Yote ya Leo

Huyu bibi amemzidi iddi amini dada Kwa vitisho lakini ajue tarehe 23 she must go.moto aliouanzisha utamlipukia yeye mwenyewe
Uwe na adabu ewe uliyekosa malezi mazuri ya wazazi wako.ukileta na kufanya fujo ni lazima ukutane na mkono wa sheria
 
Kama wewe ni Mwanaume basi toa pua yako kuingia barabarani hiyo siku halafu baadaye ukipata nafasi uje utoe mrejesho hapa.
Mimi ni Mwanamume haswaa na hao unaowapamba wataniumiza na kunikamata walishaanza zamani sana kunifuatilia na tunaokoelekea utakuja kusikia tu maana ni madhulumati, manyonyaji na wanatumia vibaya madaraka na nafasi walizo nazo. Hata hii JF waliisakama na kuiandama sana lakini Mwanaume Maxence alipambana mpaka leo bado ipo na Chawa kama nyinyi mnapata nafasi wa kuposti pumba zenu humu. Uoga ni uzembe Kijana
 
Basi kama wewe ni Mwanaume mwenye akili Timamu basi jaribu kuleta pua yako barabarani kuandamana.ndio utakiona cha mtema kuni na maana halisi ya kutii sheria bila shuruti.
 
Hivi kwa akili zako na mawazo yako huyo Ephen utampata ? 🀣🀣
Unazungumzia habari za kumpata saizi? Hujuwi ephen na mimi ni kitu kimoja kwa sasa kuanzia moyo,mwili, fikira na kila kitu? Yaani ephen na mimi ni kitu kimoja na huwezi kututenganisha hata kwa msumeno.
 
Uwe na adabu ewe uliyekosa malezi mazuri ya wazazi wako.ukileta na kufanya fujo ni lazima ukutane na mkono wa sheria
Kifungu kipi Cha Sheria ambacho kinamzuia mwananchi kuandamana kupinga mauaji?23 September she must go
 
Powerful speech by the head of state, powerful headlines πŸ‘ŠπŸ’ͺ
 
Garbage
 
Powerful speech by the head of state, powerful headlines πŸ‘ŠπŸ’ͺ
Mama anakubalika sana na watanzania.kwa hakika hotuba yake ya hana ni hotuba ya kihistoria inayopaswa kuwekwa kwenye makumbusho na makataba ya Taifa ili isomwe na vizazi vijavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…