Hivi Ndivyo Rais Samia Alivyopamba na Kutawala Magazeti Yote ya Leo

Kidampa tu wewe CCM ina wenyewe na wewe si mmoja wao, nyie ndiyo wa kutolewa kafara tu
Wenye CCM ni wanachama wa CCM ambao nami ni mwanachama wake. CCM haiendeshwi kama Sacco's ya CHADEMA inayomilikiwa na mtu mmoja ambaye amekifanya chama kama kitega uchumi wake.huku Ninyi wengine mkiburuzwa kama mahayawani.
 
anachofeli samia anaangalia alipoangukia.SIO ALIPOJIKWAA.
Ajiulize chanzo cha yote haya nini? Atajua ni kifo cha kibao .ajiulize nani kamuua kibao?akipata jibu ndo atajua chanzo cha yote haya..
Kuna watu wanamuharibia inawezekana akawa anajua au haujui.
Ila amezungukwa na wasaidizi mizigo,kuanzia makamo wake,waziri mkuu,waziri wa ulinzi,waziri wa mambo ya ndani,CDF,IGP mpaka huko chini.yaani hawajui wamshauri nini bosi wao .wanachojua kusifia TU.kulinda matumbo yao.NI HASARA KWA TAIFA.
 
Wewe Lucas utakuta una maisha magumu sana kila siku kushabikia maisha ya Mzanzibar.
 
Wewe Lucas utakuta una maisha magumu sana kila siku kushabikia maisha ya Mzanzibar.
Mimi naongea ukweli na siye kushabikia. Mimi ni mzalendo na wakati wote huwaunga mkono wazalendo aina ya Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
 
Sometimes uwa nadhani wewe jamaa unaandika mambo kama haya Kwa makusudi ili watu watukane serikali wamtukane Rais kwenye comments zako
 
HATA MAGUFULI MLIMJAZA UPEPO HIVIHIVI WATANZANIA WAKAMWACHIA MUNGU NA YEYE BILA KUJUA ANAINGIZWA CHA KIKE AKAJIONA MSHINDI DHIDI YA WATANZANIA MWISHO WA SIKU MNAJUA MLICHOMFANYIA.
 
Africa ni bara la giza na muafrika ni mfano wa shetani,unawezaje kulinda amani kwa kuteka na kuua watu??Nadhani tumepata jibu jana juu ya kiini cha utekaji, cha msingi ni kupunguza maneno na kuanza kujihami wenyewe atakaye fia vitani huyo ni shujaa.
 
Umma upi huo? Wenye akili Timamu na wanaojitambua kwa mamilioni yao wapo upande wa Jemedari wetu Kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Dah! chawa pro max, take care of ur brain Kaka.
Mental health is real
 
Sometimes uwa nadhani wewe jamaa unaandika mambo kama haya Kwa makusudi ili watu watukane serikali wamtukane Rais kwenye comments zako
Kama una matatizo kichwani mwako basi tukana tu ili sheria kali zichukuliwe dhidi yako.maana naona matusi ndio kazi mbayoiweza.
 
Africa ni bara la giza na muafrika ni mfano wa shetani,unawezaje kulinda amani kwa kuteka na kuua watu??Nadhani tumepata jibu jana juu ya kiini cha utekaji, cha msingi ni kupunguza maneno na kuanza kujihami wenyewe atakaye fia vitani huyo ni shujaa.
Unawafahau wanaoteka? Unaweza kuweka ushahidi wako hapa?
 
HATA MAGUFULI MLIMJAZA UPEPO HIVIHIVI WATANZANIA WAKAMWACHIA MUNGU NA YEYE BILA KUJUA ANAINGIZWA CHA KIKE AKAJIONA MSHINDI DHIDI YA WATANZANIA MWISHO WA SIKU MNAJUA MLICHOMFANYIA.
Acha kutapatapa wewe.kwani wewe ni Mungu?
 
Kama una matatizo kichwani mwako basi tukana tu ili sheria kali zichukuliwe dhidi yako.maana naona matusi ndio kazi mbayoiweza.

Yanaweza yasiwe matusi direct but yakawa ni maneno Tu ambayo yanachafua serikali na Rais

Hivi uwa unasoma comments zako?

And do you think unawaandika kwenye topic zako wanajisikiaje kuona wanatukanwa kwenye post zako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…