Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
mapropaganda tu ya kijinga
View: https://youtu.be/uQ-a7d0leig?si=KwxCAlbxJxtdeEwv
Rais Tinubu wa Nigeria ni jasusi la CIA.
Kanunuliwa, yuko mfukoni.
Nimesikitika, nimeshangaa, nikakasirika, halafu nikaisikitikia Mama Afika.
Sikiliza na uone tulivyo bado watumwa.
Wachina wakimnunua ni sawa?
View: https://youtu.be/uQ-a7d0leig?si=KwxCAlbxJxtdeEwv
Rais Tinubu wa Nigeria ni jasusi la CIA.
Kanunuliwa, yuko mfukoni.
Nimesikitika, nimeshangaa, nikakasirika, halafu nikaisikitikia Mama Afika.
Sikiliza na uone tulivyo bado watumwa.
Huyu sio jasusi la America, ni asset (chawa) kama zilivyo assets nyingine
View: https://youtu.be/uQ-a7d0leig?si=KwxCAlbxJxtdeEwv
Rais Tinubu wa Nigeria ni jasusi la CIA.
Kanunuliwa, yuko mfukoni.
Nimesikitika, nimeshangaa, nikakasirika, halafu nikaisikitikia Mama Afika.
Sikiliza na uone tulivyo bado watumwa.
Ukisha jiset in your mind kwamba ni sawa tu kunuluwa , mradi unapata mpunga wako, huna tofauti na malaya wa kambi ya Manzese kwa mfuga mbwa.Wachina wakimnunua ni sawa?
Warussia wakimnunua ni sawa?
East wakiwanunua ni sawa,ila West wakiwanunua si sawa ni ubeberu?
Hii vita ya East na West ni hovyo sana
Hata mzee wa taifa gas ujue
View: https://youtu.be/uQ-a7d0leig?si=KwxCAlbxJxtdeEwv
Rais Tinubu wa Nigeria ni jasusi la CIA.
Kanunuliwa, yuko mfukoni.
Nimesikitika, nimeshangaa, nikakasirika, halafu nikaisikitikia Mama Afika.
Sikiliza na uone tulivyo bado watumwa.
Na jiulize nani alimtegeneza Robert Mugabe, ndo utajua kuwa mentors wake wenye utu na uchungu wa bara hili la Afrika walikuwepo.Rip mugabe and gadafi atleast nyinyi mlikua majeuri kwa mabeberu.the rest ni machoko tu
kuna wengine wananunuliwa na waarabu, wanauza hadi rasilimali zote kwa waarabu, kwao mwarabu kuwepo akila mali za nchi wanaona kama wanaishi karibu na malaika. hawa tuwaweke kundi gani?Rais wa Africa kununuliwa.., mi nadhani ni kawaida tu kwa sababu ya ujinga wa Mwafrica
Kiongozi wa Africa yuko tayari kuuza rasilimali kwa wageni kwa kupewa hongo na akasaini mkataba wa hatari
Wa miaka mia huku nchi yake ikipata 7% tu ya mradi huo
Unaona ajabu kwa kiongozi kununuliwa???
Intelligence is the business of exchanging informationUkisha jiset in your mind kwamba ni sawa tu kunuluwa , mradi unapata mpunga wako, huna tofauti na malaya wa kambi ya Manzese kwa mfuga mbwa.
You are so cheap young man!Intelligence is the business of exchanging information
Kutaja hapa Tunubu kanunuliwa,lini na bei gani na evidence zipo wapi?
Na nani alikwambia kununuliwa si sawa?
Everybody has a price,wewe included,kama u have something I need na nikafika your price,fair exchange of currencies inatokea,whats wrong with that?
Au wewe unadhani ukisema "kununuliwa" na America tu ndio vibaya ila sio China ndio sahihi?
Fvck it,stay with your fake morality uliyolishwa na CCM and your stupid Tanzanian govt.
Nina bidhaa unayoitaka,then I have to charge you for the fair exchange!
Mambo sijui ya nchi na wananchi sijui uzalendo,matacor yenu kila mtu ajitegemee,sina muda wa kusaidia mtu na wala sitaki mtu anisaidie lolote,nchi ni kipande cha ardhi na wananchi kwenye hiyo ardhi ni wanadamu kama kenge wengine tu
Keep that uzalendo nonsense to yourself

You tube is a source of information, haijakanushwa an Tinubu!JF ndio tumefika Point ya Kujadili Mambo ambayo hayajatoka kwenye Credible source kabisa yani tujadili YouTuber uchwara huko anaetafuta Viewers
View: https://youtu.be/uQ-a7d0leig?si=KwxCAlbxJxtdeEwv
Rais Tinubu wa Nigeria ni jasusi la CIA.
Kanunuliwa, yuko mfukoni.
Nimesikitika, nimeshangaa, nikakasirika, halafu nikaisikitikia Mama Afika.
Sikiliza na uone tulivyo bado watumwa.
Refer to my post #55Watu bado ni washamba sana.
1. Huyo sio mtu wa kweli anaongea ni AI ambayo inasoma yenyewe maneno tu na kutumia sauti fake
2. Hizo propoganda zinatengenezwa na China kuaminisha watu kuwa ni wamarekani wanaongea.
Tafuta huyo mtu ambaye anaongea kama utampata!
Refer to my post #55
Halafu utajua mshamba ni yupi kati yangu mimi na wewe.
MkuuYou are so cheap young man!
And that will make me feel bad or some shit like that?Ukisha jiset in your mind kwamba ni sawa tu kunuluwa , mradi unapata mpunga wako, huna tofauti na malaya wa kambi ya Manzese kwa mfuga mbwa.