Eti Nyerere alilala vichakani USA, alikua darling wa west,soma kitabu Cha molony, Nyerere;early years uone alivyokua akicheza kwenye mabangaloo akiandaliwa kupewa nchi,tafuta picha yake na rais mzinifu kenned wakiwa white house,aliandaliwa na mabeberu tangu tabora school,alitaka kuwa Padre wakamkataza,maana walijua ana kazi maalum,kwame akiwa madarakani nchi nyingi za west Africa hazikua huru,na Nyerere hakuunda regional block yoyote,na Kama ni harakati za Mandela zinakuzuzua basi jua hata uingereza walikua wakivujisha Siri za makaburu kwa wapigania uhuru,waingereza waliomuandaa Nyerere ndiyo waliomuokoa na mapinduzi