Watanzania tuna Poor self esteem , Tunaamin kila kiti cha nje ni bora kuliko vyetu sisiUkitaka kujua moja ya dream ya Nyerere, cheki hizi nchi za Sadc,zote zimekombolewa na mchango mkubwa kutoka Tz yaani Nyerere. Vision yake ilikiwa nchi kuwa na moja na kuunganisha Wafrica.Hata SADC na East Africa Community ni juhudi kubwa za Nyerere. Sasa Kwame kwenye zone yake ya Magharibi alifanya nini? Maana nchi za Magharibi hata utulivu wao ni wa mashaka.
Tafuta hiyo documentary ya Cuba che castroAljazeera.com documentary zake zote zipo YouTube na ndio channel yangu ninayo ikubali kwa habari za kimataifa hasa za Middle East.
Hilo halina utata.kwa ninavyoona mimi viongozi wengi wa Africa na mabara mengine ni majasusi wa Marekani a.k.a ( chawa)
Weka link hapa.Tafuta hiyo documentary ya Cuba che castro
Unauliza na kujijibu.ulichojib na alichoandika jamaa , ww upo OP , kwann wengine ni sw kuwanunua viongoz ila west sio sw ?
hapo utagundua kuna watu bado wapo kweny enz za ukolon wa kifikra
Ukiwa mvivu wa kufikiri na kutafuta ukweli uliopo hata mitandaoni, madhara yake ni kama ulichoandika.Afrika maisha yetu ni kuamua kuamini tu,hatujui pakushika ni wapi kuhusu wazee walio pigania uhuru wetu mpaka Hawa viongozi wasasa hivi.
Historia zipo mbilimbili huyu anasema hii ni ya uongo ya ukweli ni hii kisa tu amaielewa na kuiamini na mwingine anakuja anampinga kwamba si kweli Bali ukweli upo huku.
Mfyuuuuuuuuuuu!!
Panafuka moshi balaa.Vipi,pa kujambia pamechemka!?
SogaUnaweza usiamini lakin woote akina Kwame , Nyerere woote hao walikia vibaraka wa wazungu. We unadhani walisomeshwa bure bure tu ulaya???
wapo wanaoitawala dunia. whether we like or not!Unaweza usiamini lakin woote akina Kwame , Nyerere woote hao walikia vibaraka wa wazungu. We unadhani walisomeshwa bure bure tu ulaya???
kivipi wakati alikuwa anawapa makavu bila kuwaogopa?Hata hao wa kwanza kama nyerere alikuwa kibaraka wa uingereza na marekani kitamboo tuu
Ishu si kuwa majeuri, ujeuri huo ulisaidia nchi na wananchi au ulididimiza wananchi katakanumaskini wa kutupwa?Rip mugabe and gadafi atleast nyinyi mlikua majeuri kwa mabeberu.the rest ni machoko tu
Wewe unanitafuta ubaya nishakuona.Unaweza usiamini lakin woote akina Kwame , Nyerere woote hao walikia vibaraka wa wazungu. We unadhani walisomeshwa bure bure tu ulaya???
hv baada ya Uhuru tulikuwa na wasomi wa kutosha kujisimamia kwenye kila idara ? hv unajuwa auditors walikuwa wahindi mpk miaka fulan tulipoanza zalisha wa kwetu,Hilo halina utata.
Hata Nyerere alikuwa anaongozwa na mwanamke wa Kingereza tokea uhuru mpaka anawachia madaraka. Huyu mwanamke alikuwa pale ikulu kama msaidizi katibu mahsusi wa Nyerere. Jiulize kwanini?
Unalijuwa hilo la nyerere?
Nchi karibia zote zilizotawaliwa na wazungu zina uhuru wa makaratasi na sherehe tu.
kwasasa hizo jamii umetaja hapo juu ndo zinatawala afrika indirectly na wanatengeza picha za sijui WEST kuwa ndo wabaya wetu , lkn malia zetu zote zinazoibiwa afrika zinauzwa Dubai ( uarabuni ) je wanaiba bila na links za utawala wetu ? China ndo amekuwa mwizi mkubwa wa maliasili zetu kwa miaka 30 iliyopita , wazungu wanakuja kwa mikataba japo wanaenda deep kuchukua zaid ya mikataba isemavyo njia hii pia waarab na wachina wameanza itumia , ushawishi a wazungu umepungua sana ndan ya afrika , kinachowacost wazung kubeba lawama na kuongea ongea kwao wanabeba lawama za watu Asia wanaotuibia kiuhalisiaHivi nchi za kiarabu nazo zina vibaraka wao afrika? China na urusi wanakazana kupata vibaraka wao Afrika
Bado sijaona sehemu ya kuupata ukweli usio na shaka,maana historia inaandikwa na watu na mtu anaweza tu kuamua hili liwepo hili lisiwepo,watakaosoma wajue hili na hili wasijue.Ukiwa mvivu wa kufikiri na kutafuta ukweli uliopo hata mitandaoni, madhara yake ni kama ulichoandika.
Naona usa inazidi kujipakaa kinyesi hadi usoni kisa tu ni israel
View: https://youtu.be/uQ-a7d0leig?si=KwxCAlbxJxtdeEwv
Rais Tinubu wa Nigeria ni jasusi la CIA.
Kanunuliwa, yuko mfukoni.
Nimesikitika, nimeshangaa, nikakasirika, halafu nikaisikitikia Mama Afika.
Sikiliza na uone tulivyo bado watumwa.