HIvi ndivyo viongozi wa Afrika wanavyonunuliwa na mataifa makubwa ikiwemo Rais Tinubu ambaye ni jasusi la CIA

HIvi ndivyo viongozi wa Afrika wanavyonunuliwa na mataifa makubwa ikiwemo Rais Tinubu ambaye ni jasusi la CIA

Ukitaka kujua moja ya dream ya Nyerere, cheki hizi nchi za Sadc,zote zimekombolewa na mchango mkubwa kutoka Tz yaani Nyerere. Vision yake ilikiwa nchi kuwa na moja na kuunganisha Wafrica.Hata SADC na East Africa Community ni juhudi kubwa za Nyerere. Sasa Kwame kwenye zone yake ya Magharibi alifanya nini? Maana nchi za Magharibi hata utulivu wao ni wa mashaka.
Watanzania tuna Poor self esteem , Tunaamin kila kiti cha nje ni bora kuliko vyetu sisi
wapo watu walikuwa wanamfananisha Diamond vs Lolilo w Burundi
 
kwa ninavyoona mimi viongozi wengi wa Africa na mabara mengine ni majasusi wa Marekani a.k.a ( chawa)
Hilo halina utata.

Hata Nyerere alikuwa anaongozwa na mwanamke wa Kingereza tokea uhuru mpaka anawachia madaraka. Huyu mwanamke alikuwa pale ikulu kama msaidizi katibu mahsusi wa Nyerere. Jiulize kwanini?

Unalijuwa hilo la nyerere?

Nchi karibia zote zilizotawaliwa na wazungu zina uhuru wa makaratasi na sherehe tu.
 
Afrika maisha yetu ni kuamua kuamini tu,hatujui pakushika ni wapi kuhusu wazee walio pigania uhuru wetu mpaka Hawa viongozi wasasa hivi.

Historia zipo mbilimbili huyu anasema hii ni ya uongo ya ukweli ni hii kisa tu amaielewa na kuiamini na mwingine anakuja anampinga kwamba si kweli Bali ukweli upo huku.

Mfyuuuuuuuuuuu!!
 
ulichojib na alichoandika jamaa , ww upo OP , kwann wengine ni sw kuwanunua viongoz ila west sio sw ?

hapo utagundua kuna watu bado wapo kweny enz za ukolon wa kifikra
Unauliza na kujijibu.
Kununuliwa ni kununuliwa tu, hata anayekununua ni mwarabu!
 
Afrika maisha yetu ni kuamua kuamini tu,hatujui pakushika ni wapi kuhusu wazee walio pigania uhuru wetu mpaka Hawa viongozi wasasa hivi.

Historia zipo mbilimbili huyu anasema hii ni ya uongo ya ukweli ni hii kisa tu amaielewa na kuiamini na mwingine anakuja anampinga kwamba si kweli Bali ukweli upo huku.

Mfyuuuuuuuuuuu!!
Ukiwa mvivu wa kufikiri na kutafuta ukweli uliopo hata mitandaoni, madhara yake ni kama ulichoandika.
 
Kama kuwa kibaraka ndio siasa zenyewe, je kizazi hiki si itakuwa kina viongozi wengi ni vibaraka wa magharibi au mashariki au double standard kwa ajili ya kujiimarisha kisiasa? Sasa kuna ubaya gani kuwa kibaraka wakati ndio mtindo wa siasa?
 
Hivi nchi za kiarabu nazo zina vibaraka wao afrika? China na urusi wanakazana kupata vibaraka wao Afrika
 
Hilo halina utata.

Hata Nyerere alikuwa anaongozwa na mwanamke wa Kingereza tokea uhuru mpaka anawachia madaraka. Huyu mwanamke alikuwa pale ikulu kama msaidizi katibu mahsusi wa Nyerere. Jiulize kwanini?

Unalijuwa hilo la nyerere?

Nchi karibia zote zilizotawaliwa na wazungu zina uhuru wa makaratasi na sherehe tu.
hv baada ya Uhuru tulikuwa na wasomi wa kutosha kujisimamia kwenye kila idara ? hv unajuwa auditors walikuwa wahindi mpk miaka fulan tulipoanza zalisha wa kwetu,

Kwasasa way weusi wakiona mzungu bas wanahisi ni CIA , hii ni homa ya ukoloni
 
Hivi nchi za kiarabu nazo zina vibaraka wao afrika? China na urusi wanakazana kupata vibaraka wao Afrika
kwasasa hizo jamii umetaja hapo juu ndo zinatawala afrika indirectly na wanatengeza picha za sijui WEST kuwa ndo wabaya wetu , lkn malia zetu zote zinazoibiwa afrika zinauzwa Dubai ( uarabuni ) je wanaiba bila na links za utawala wetu ? China ndo amekuwa mwizi mkubwa wa maliasili zetu kwa miaka 30 iliyopita , wazungu wanakuja kwa mikataba japo wanaenda deep kuchukua zaid ya mikataba isemavyo njia hii pia waarab na wachina wameanza itumia , ushawishi a wazungu umepungua sana ndan ya afrika , kinachowacost wazung kubeba lawama na kuongea ongea kwao wanabeba lawama za watu Asia wanaotuibia kiuhalisia
 
Ukiwa mvivu wa kufikiri na kutafuta ukweli uliopo hata mitandaoni, madhara yake ni kama ulichoandika.
Bado sijaona sehemu ya kuupata ukweli usio na shaka,maana historia inaandikwa na watu na mtu anaweza tu kuamua hili liwepo hili lisiwepo,watakaosoma wajue hili na hili wasijue.

kutokuwa mvivu wakutafuta ukweli na kufikiria sana vinatuleta karibi na ukweli Kwa kuunga nukta za matukio na hali halisi na haswa kama jambo linamuendelezo mpaka Kizazi hiki.

waongo wenyewe pia wanapenda kuuaminiwa la wainiwavyo wakweli.
 
Back
Top Bottom