Watanzania tuna Poor self esteem , Tunaamin kila kiti cha nje ni bora kuliko vyetu sisiUkitaka kujua moja ya dream ya Nyerere, cheki hizi nchi za Sadc,zote zimekombolewa na mchango mkubwa kutoka Tz yaani Nyerere. Vision yake ilikiwa nchi kuwa na moja na kuunganisha Wafrica.Hata SADC na East Africa Community ni juhudi kubwa za Nyerere. Sasa Kwame kwenye zone yake ya Magharibi alifanya nini? Maana nchi za Magharibi hata utulivu wao ni wa mashaka.
wapo watu walikuwa wanamfananisha Diamond vs Lolilo w Burundi