Wewe ndio mweupe unazani hizo harakati ziliamza 1959? Hivi unazani Che alitoa mafunzo kwa Congo DRC tuu? Castro hajawahi kumuuza Che ,hivi wewe unazani majarabio Mangapi waliyafanya west kumuangamiza Castro? Kwani hao askari wa Kikongo walikuwa wanaongozwa na nani? Na aliwekwa madarakani baada ya kumpindua nani? Hapo ndipo utajua Che alijua move ya Mobutu ndio maana choice yake ya kujificha ikawa Tz,sababu anajua wanaharakati wengi walikuwa wanakuja kujificha Tz.
Castro mpaka uzee wake US walikuwa wanamwinda
Che hakuwa Mcuba (Argentina),ila harakati zake Cuba ndizo zilizompa umaarufu, kwa vyama vingi vya ukombozi vya Afrika na Kusini mwa America. Nishaona documentary ya ukombozi wa Cuba,alikiwa bega kwa bega majoring na Castro,kwenye kuwaondoa Wakaloni na kuvirudisha viwanda vingi vikiwemo vya sukari.