Hivi Netanyahu ana elimu kweli, mbona anaendesha nchi kama viongozi wa shithole countries?

Kuna speech moja aliitoa kwa wananchi wa iran dhidi ya serikali ya iran ukiisikiliza unajiuliza huyu timamu kweli, anawachukulia watu woote ni watanzania, maana yale maneno yana uchembe chembe wa akili za wanasiasa wengi wa Tanzania
Ndiomaana ni vigumu kumtenganisha kiakili na kimaono na viongozi wa nchi za shithole. Jamaa hana vision hata chembe.

Ashukuru wazungu wenzake waliomtoa kwao Poland na kumpeleka Israel kumfanya awe miongoni mwa wale wanaoitwa "chosen ones people"

Otherwise angekuwa hana tofauti na hawa shithole leaders.
 
Wewe hata ueleweki mkuu, matajiri wakubwa pale marekani ni mayahudi, Hao Jamaal wanapesa na Wana uwezo wa kuendesha serikali wanavyotaka, wewe ona mambo kama unavyoona.. Kuna muda ujinga ni baraka..
Acha uzushi na uongo

Bill gates, Ellon Musk, Jeff Bezzos Hao wote hawana uhusiano na Wayahudi.

Familia za Walton, Koch na Mars ambazo ndizo familia tatu tajiri Marekani hazina uhusiano wowote na Wayahudi.

Hivyo kusema kuwa uchumi wa Marekani unashika na mayahudi huo ni uongo, bora useme sekta fulani imeshikwa na Wayahudi hapo utaeleweka.
 
Ukiona statement inaanza na : "Inasemekana .........................mara nyingi hupoteza uzito wake (mashiko)kwani haja inabaki: Ni akina nani hao wanaosema???
 
Ya ni kweli mkuu, bora aseme sekta fulan hapo ataeleweka, ila sio kusingizia wayahudi ambao huko kwenyewe watu wanaishi kwa kuunga unga.

Anatakiwa ajue kwamba Marekani ni nchi ambayo kila jamii ina don wao.

Mfano kuna wamarekani wenye asili ya India ni matajiri wa kutupa ila hawajioneshi.

Kuna wamarekani wenye asili ya kiarabu ambao ni matajiri wa kutupa ila hawajioneshi.

Kuna wamarekani wenye asili ya Afrika ambao ni matajiri wa kutupa ila hawajioneshi.

Kadhalika kuna wamarekani wenye asili ya kiyahudi, kizungu, kichina nk.

So yeye amekaririshwa kuwa kila tajiri wa Marekani ni myahudi, kitu ambacho hata mtu aliekimbia shule huwezi kumdanganya.
 
iQ yake ipo wapi? Hivi high IQ ni kwa ngozi nyeupe tu sijawahi kusikia kuna mwafrika ana high IQ
Kwa aina ya majirani alionao Israel. Kiongozi kama Netanyahu anahitajika pamoja na kumuona ana mapungufu. Israel imezungukwa na majirani walioapa kufanya nao vita vya milele. Nayo ni kwa sababu ya kukaririshwa imani potofu dhidi ya waYahudi.

Kuhusu kujiimarisha kiuchumi, kijeshi, kitechnology . Hayo hayawezi kufanyika ikiwa kila wakati proxies wa wa Iran wanavamia na kufanya vita.
 
Hi zo pesa za kujiimarisha kiuchumi wanazo? Waache kuomba pesa kwa waume zao marekani? Netanyahu ni makofi kila mtu anataka kupigana nae ana akili za kijinga sana
 
Swali ninalojiuliza hadi sasa hio IQ ya 180 ameitumiaje kupambana na Hamas ambao mpaka sasa ni miaka miwili licha ya kupewa msaada wa hali na mali na nchi za NATO na matumaini ya kuwapata mateka ni ndogo, ameitumiaje pia hio IQ kuhakikisha angeidhibiti Iran ambayo hadi vita ya siku 12 inaisha na yeye akiwa mchokozi alibondwa sana....
 
Hiyo Quran yenu ndiyo imewaingiza chaka. Quran imebeba utashi kibinaadamu na wala si maneno na miujiza ya kiMungu.

Na kuendelea kuiendekeza bado mtakuwa. Israel inaetaendelea kuwahitaji watu kama Netanyahu kuiongoza
 
yaani makobazi wote mkiunganishwa 1q zenu hamfiki IQ ya Netanyahuu

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Kitu gani alifanya hadi apate hio IQ ya 180 apewe, unaweza kurejea walau IQ test aliyofanya?, mtu angenishawishi Elon Musk kwa vitu alivyofanya hata wangesema IQ ya 200 ningekubali, sio huyo mzee mjinga kazi kutembeza bakuli...
 
Hivi mkuu unataka kuniambia pale mashariki ya kati wapo israel pekee yake, huko kwingine hakuna wayahudi na wanaishi vipi!?.
Unauelewa gani kati ya uyahudi na uzayuni?
 
Kuhusu kujiimarisha kiuchumi, kijeshi, kitechnology . Hayo hayawezi kufanyika ikiwa kila wakati proxies wa wa Iran wanavamia na kufanya vita.
Japo mimi siamini katika mambo ya dini lakini bila shaka yoyote wewe ndio uliekaririshwa kuhusu haya uliyoandika hapa JF.

Nasema umekaririshwa kwa sababu ulichoandika ni upuuzi mtupu, na hakina ushahidi wowote wa maana.

IPO HIVI ....

Acha nikufungue macho, akili na fikra zilizofungwa upande mmoja na watengeneza propaganda wa Netanyahu na Israel, kwa lengo la kutaka uendelee kuwaona kina Netanyahu na genge lake ni miungu yako isiyoweza kukosea chochote hapa duniani 🤣, na kwamba eti ukiongea kinyume na wanachotaka wao uamini, basi utakuwa umejikosesha wewe mwenyewe ticket ya kwenda mbinguni na hautobarikiwa na mungu wao 🤣🤣🤣.
Kwa aina ya majirani alionao Israel. Kiongozi kama Netanyahu anahitajika pamoja na kumuona ana mapungufu. Israel imezungukwa na majirani walioapa kufanya nao vita vya milele. Nayo ni kwa sababu ya kukaririshwa imani potofu dhidi ya waYahudi.
Ukweli ni kwamba katika hao majirani wote unaosema hapa, hakuna jirani yoyote anaewachukia wayahudi. Na ndiomaana hizo nchi zote zipo na raia wengi tu wenye asili na imani ya kiyahudi. Kuanzia Jordan, Egypt, Syria na Lebanon kote huko kuna wayahudi wengi tu wanaishi huko bila shida yoyote na hatusikia wanashambuliwa wala kuuwawa.

Iran ambayo umedanganywa eti inachukia wayahudi, ndio nchi ya tatu duniani kuwa na wayahudi wengi baada ya Israel, Marekani. Ukitaka ushahidi wa hili hebu nenda kwenye Google ambayo inamilikiwa na wazungu wakiwemo wayahudi wenyewe utaona imethibitisha hivyo kwamba Iran inashika nafasi ya tatu kuwa na wayahudi wengi duniani.

Sasa kama Iran haiwataki wayahudi kwanini haikuanza kuwachinja kwanza wale wayahudi waliopo Iran?

Tukiachana na Hamas huko Gaza, ni kawaida kusikia walowezi wa kiyahudi wamevamia makazi ya wapalestina kimabavu, kuwapiga na wengine kuwaua bila sababu. Lakini kamwe hauwezi kusikia myahudi wa Iran amevamiwa nchini Iran na kuuwawa kwa sababu ya dini, au asili yake. Myahudi wa Iran ana haki sawa na zile walizonazo raia wengine ndomaana hauwezi kuona wananyanyaswa au kuteswa hata siku 1.

Tukija kwa kina Netanyahu hawa wanachukiwa kwa sababu kwanza wengi wao ni wazungu waliotokea Ulaya na Marekani kuja kutawala na kunyanganya ardhi za watu wengine waliowakuta katika eneo hilo. Iran imekuwa ikitumia makundi ya wapambanaji kuwasaidia wapalestina kupigania haki zao kama Israel inavyosaidiwa na Marekani, Uingereza, Ufaransa na Ujerumani kukandamiza haki za wapalestina.

Hayo mambo ya sijui Iran au majiran wanawachukia wayahudi ni ya uongo kwa sababu hizo nchi zote ikiwemo palestina zina raia wengi tu wa kiyahudi na hakuna mwenye muda au mawazo ya kuwaua.

Netanyahu na genge lake wakikubali kuwaacha wapalestina waishi kwa amani basi hakuna mtu atakaekuwa na shida nao kwani wayahudi hapo wapo wengi miaka na miaka toka enzi za waajemi, wagiriki, waroma na Othman empire, kabla hata hao wazungu hawajaja miaka ya 1947 kuanzisha taifa hilo.

So ni wewe ndio uliemezeshwa matango pori kuhusu nchi hizo kuchukua wayahudi. Sio kweli na ni uongo wa zamani kabla mambo ya sim za kiganjani ambayo mtu unapakua na kujua ukweli hayajaja.

Jana raisi wa Ufaransa Emanuel Macron kwenye speech yake katika bunge la Uingereza aliwaambia wabunge wa Uingereza kwamba ili amani ya kweli ipatikane pale Israel au Mashariki ya kati basi ni lazima Israel na nchi za Magharibi zikubali kulitambua taifa la Palestina na kuwatoa walowezi wote waliovamia ardhi na makazi ya wapalestina.

Sasa unaweza kujiuliza kati ya waliokulisha matango pori na raisi wa Ufaransa Macron nani anaefahamu haswa kinachoendelea huko Israel na Palestina?

Umepewa kichwa chenye akili ili kufikiri, sio kufugia nywele na kamasi tu ndugu yangu. Amka!
 

Attachments

  • Screenshot_20250710-123505.jpg
    340.6 KB · Views: 15
Hivi mkuu unataka kuniambia pale mashariki ya kati wapo israel pekee yake, huko kwingine hakuna wayahudi na wanaishi vipi!?.
Unauelewa gani kati ya uyahudi na uzayuni?
Mkuu soma comment yang namba 116 nimemjibu vizuri tu. Kama ana akili timamu hatoweza kupinga kilichoandikwa.
 
Kitu gani alifanya hadi apate hio IQ ya 180 apewe, unaweza kurejea walau IQ test aliyofanya?, mtu angenishawishi Elon Musk kwa vitu alivyofanya hata wangesema IQ ya 200 ningekubali, sio huyo mzee mjinga kazi kutembeza bakuli...
Niko hapa pembeni, akikujibu nishtue mkuu 🤣🤣🤣
 
Nafikiri wanazungumzia IQ ya kuomba, ambapo hata hivyo imechakachuliwa sababu bila kuchakachua basi Netanyahu angeonekana mchumba tu mbele ya gwiji la waombaji Matonya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…