MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Hakuna biashara mbaya ikisimamiwa vizuri.... shughuli ipo wewe ni mtumishi, uende kwenye kazi zako, bado usimamie biashara.Walioanzisha biashara ya chips walidharauliwa sana, baada ya kuona mtu anaibukia kwenye chips, sasa vibanda ni vingi. Ila ukiisimamia vizuri inalipa sana.
Mtu anapeleka milioni 10, eti gawio kwa mwaka laki 5..Acha dharau 🤣Oya huu mwaka umeisha sijashika milion mbili papo kwa papo afu we unailetea dharau
Kaweke hilo banda la chipsi halafu usiwe na muda wa kulisimamia uone kitakachotokea.Wanaoweka UTT wanavitu vingine wanafanya vinavyoingiza hela,huko UTt ni kukuza mtaji.Mtaani mtu anajenga banda la chips na mtaji kwa jumla ya laki 7 kwa mwaka ana make zaidi ya 5M .
Mwingine anaweka 20M UTT kwa mwaka ana make 2M
Hiki ni nini ? Mimi nadhani huko wanafaidika wanaoweka pesa nyingi
Well said jamaa anafikiri sababu kuna aneuza chips kwa mtaji wa laki 7 na kuoata 5m kwa mwaja basi wauza chips wote wabapata hiyo.. au anataka qote wakafanye biashara..Kila mtu na kipaumbele chake
Ukiweka hiyo milioni mia leo na ukawa unasosomola tuseme kale kafaida kake baada ya miaka kumi hiyo milioni mia itakuwa imebaki kiasi gani? Mambo ya FV = PV × (1 + r)^n hayo.UTT ni kwa ajili ya wastaafu. Ukishapata burungutu unarusha kule milion mia... unaendelea kusosomola kidogo kidogo hadi ufwe na kuacha urithi
.. inaonekana hujui value ya pesa ni nini.. value ya pesa inapimwa kwa mda uliotumia kuipata.. mwajiri wako nje ya ujuzi wako anakulipa kwa mda unaomtumikia sio ujuzi.. ndio maana anakwambia mda wa kuingia na kutoka..Mtaani mtu anajenga banda la chips na mtaji kwa jumla ya laki 7 kwa mwaka ana make zaidi ya 5M .
Mwingine anaweka 20M UTT kwa mwaka ana make 2M
Hiki ni nini ? Mimi nadhani huko wanafaidika wanaoweka pesa nyingi
Hujui chochote kuhusu biashara.. inaonekana hujui value ya pesa ni nini.. value ya pesa inapimwa kwa mda uliotumia kuipata.. mwajiri wako nje ya ujuzi wako anakulipa kwa mda unaomtumikia sio ujuzi.. ndio maana anakwambia mda wa kuingia na kutoka..
Huyo muuza chips hiyo 5m anaipata kwa kuanza kazi saa nne asubuh pengine hadi saa 4 au had saa 8 za usiku .. akilala siku moja aidha afidie au haipati hiyo 5m na naamini ukimuhoji atakwambia anakosa mda wa kufanya mambo mengine , ya kimaendeleo na kijamii hana
Huyu mwenye 20m unaona hana akili kwa kupata 2m kwa mwaka kwa mwaka UTT wakat umesahau hiyo 2m imemfanya akapata uhuru wa masaa kadhaa kuweza kufanya jambo lingine la kumuingizia kipato.. au imempa flexibility ya budget yake.. muuza
Chips kama kapata 5m mwaka huu hana uhakika wa 5m mwakan..
Uktaka kujua umefanikiwa vip kimaisha usiangalie unaingiza kias gan ila angalia una uhuru wa mda kias gani.. kama unatumia masaa zaid ya 8-12 kila siku kuingiza kipato chako basi hujafanikiwa sababu huna uhuru wa mda maana huna uwezo wa kufanya jambo lolote unalolitaka kwa wakati unaoutaka wewe na mahali unaoopataka.
hahahahaha,kwa hiyo kazi yako wewe itakuwa ni kubadilisha hotel tu kila sikuAisee kumbe ukipata billion bongo wee nikula mbussus mpaka unadata.
So rougly kila mwezi wee una mil 15 zakutumia.
Ni kweli kama wewe usivyojua chochote kuhusu UTT na uwekezaji kwa ujumla..Hujui chochote kuhusu biashara
Kabisa maana ukilala hotel ya laki 1 kwa siku ni million 3.hahahahaha,kwa hiyo kazi yako wewe itakuwa ni kubadilisha hotel tu kila siku
Kuna mmoja alinambia wewe unatumia jamii forum ni kwa ajili ya wazee🤣Kwan unataka kuwa mwandishi wa habari!Mtaani mtu anajenga banda la chips na mtaji kwa jumla ya laki 7 kwa mwaka ana make zaidi ya 5M .
Mwingine anaweka 20M UTT kwa mwaka ana make 2M
Hiki ni nini ? Mimi nadhani huko wanafaidika wanaoweka pesa nyingi
Tuangalie kwanza Do=(1+g) ^n itakuwa ngap afu tuje mwishoni tupige (Dn+1/ke-g2)x(PVIFi, n) single sum)Ukiweka hiyo milioni mia leo na ukawa unasosomola tuseme kale kafaida kake baada ya miaka kumi hiyo milioni mia itakuwa imebaki kiasi gani? Mambo ya FV = PV × (1 + r)^n hayo.
Sio kila mtu anaweza kufanya biashara na wala sio kila mtu ni mfanyabiashara. Hivyo kuna mtu hawezi kufanya biashara na wala hana muda wa kuhangaika biashara anaamua kuweka pesa huko badala ya kuiweka tu bank ambapo kuna makato.Mtaani mtu anajenga banda la chips na mtaji kwa jumla ya laki 7 kwa mwaka ana make zaidi ya 5M .
Mwingine anaweka 20M UTT kwa mwaka ana make 2M
Hiki ni nini ? Mimi nadhani huko wanafaidika wanaoweka pesa nyingi
Wekeza kwanza zab. 147.1 ambayo ni risk free.Hakuna biashara kubwa au ndogo itakayokupa amani na furaha pasipozingatia hili.Kama unabisha jaribu.Wapi eneo la kibanda cha chips nikawekeze na mie?
Hii imekaa njema. Hizi UTT bonds na BOT Bonds zinawafaa mabillionaire ambao hawataki kuhangaika zaidi na mabiashara. Aidha walioko kwenye age za utu uzima. Ila kwa vijana wenye nguvu za kukimbizana na hela ndogo inakuwa haina tija.Wekeza tshs billion 1 kwenye hati fungate za serikali upate tshs 159,400,000 kwa mwaka tax free na husle free.
Hahaha IPHONE hizo, nchi hii kila mtu ni financial guru, we soma comments kisha tambaa. Bongo Darisalama, hakuna mjinga wote tunajua kila kitu. Mijadala mikubwa muwe mnashuka na huku chini kwa wauza juice za miwa mnatushauri.Wabongo bwana. Mtu anaandika kinachomjia kichwani tu. Hivyo vibanda vya chips vyenye hiyo return viko vingapi wakati kila siku watu wanafungua vibanda na vinakufa. Halafu hiyo know how na muda na mazagazaga yote ya kuendesha kibanda cha chips ni kila mtu anaweza? Malengo na hali za watafutaji ni tofauti ndiyo maana kila mtu anachagua eneo analoona ni rahisi kwake.
Wao wananunua bonds za 15.9% kisha wanakupeni nyie mgao wa 11% so wanafaidika na hio difference hapo.Nadhani UTT ndiyo wanaopata faida kubwa kwa hela yako! Na sidhani kama ukiiweka huko inakaa bure! Wanaizalisha then wanakupa sehemu ya faida kila mwezi.
Eeh huo si mshahara wa mbunge kabisa😂Aisee kumbe ukipata billion bongo wee nikula mbussus mpaka unadata.
So rougly kila mwezi wee una mil 15 zakutumia.