Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe Kweli ni "Stroke". Mabeberu ilikuwa ni "slogan" za kina Nyerere Kipindi Cha Vita baridi.Sasa hivi Dunia nzima Wana mfumo mmoja wa kibepari(capitalism).Ujamaa kama haujafa basi uko hoi bin taabani hapa duniani.Hata huko China,Urusi kuna mabilionea .Kwa mantiki hiyo ukitumia slogan ya "Mabeberu" hata wao ni "Mabeberu".Lisu = Kigogo (chahali)= amsterdam hiyo ni project moja ya mabeberu kujaribu kutu destabilize.
kumbuka anasimamia haki ya mteja wake na siyo kuingilia ndo maana nchi zilizoendelea unakuta unakamatwa unakataa kuongea chochote mpk mwanasheria wako aje so yule kwa maana nyingine ni LissuNi kweli kama walivyosema kuwa uchaguzi wa mwaka huu ni wa kihistoria.Haijawahi kutokea huko nyuma, kwa uchaguzi mkuu wa nchi yetu kuingiliwa ki wazi wazi na watu wa nchi za nje wa aina ya akina Robert Amsterdam!
Sijui ingalikuwaje kama kila mgombea wa urais katika uchaguzi huu angalikuwa na Amsterdam wake kutoka mataifa yenye nguvu duniani; yakimprotect mgombea wao na kutishia kuwafikisha kwenye mahakama ya ICC wale wote watakaoonekana kuwa tishio la mgombea wao kupata ushindi.
Fikiria kama Benard Membe naye angalikuwa na Amstedam wake, kwa dhoruba alilolipata, Seif na Zitto wangalikuwa wanasubiri kufikishwa ICC!! Fikiria dhoruba wanayoipata akina Hashim Rungwe kwa kuzuiliwa kutoa ubwabwa kwenye kampeni zao, idadi ya watu wangaliofikishwa mahakama ya ICC wangalikuwa kiasi gani? Fikiria dhoruba wanayoipata akina Lipumba na kadhalika kwa kukosa mafuriko kwenye mikutano yao na kadhalika.
Huko kwa akina Amsterdam nchi nyingine hata kuhisiwa tu kama ilishiriki kuingilia uchaguzi wa nchi yao huwa ni jambo lisilokubalika. Tulishuhudia kasheshe iliyotokea kwa China na Urusi kuhisiwa kusaidia ushindi wa Trump katika uchaguzi mkuu wa Marekani wa mwaka 2016. Kasheshe hii hadi sasa haijaisha na wala Trump mambo ya ICC hayamuhusu.
Sasa jee tunaweza kuwashitaki kwenye mahakama za kimataifa hawa akina Robert Amsterdam ambao wazi wazi kabisa wameingilia uchaguzi mkuu wetu? Au sheria za kimataifa zinasema nini juu ya watu kama hawa?
Usipotoshe issues hapa....Kama hujui nyamaza...maana ya ubeberu kwa kiingereza ni imperialism...na imperialism bado ipo..Imperialism tendencies bado zipo...unachozungumza kuhusu mfumo ni globalization au utandawazi ambapo capitalism ndiyo engine yake.,Wewe Kweli ni "Stroke". Mabeberu ilikuwa ni "slogan" za kina Nyerere Kipindi Cha Vita baridi.Sasa hivi Dunia nzima mfumo mmoja wa kibepari.Hata huko China,Urusi kuna mabilionea .Kwa mantiki hiyo ukitumia slogan ya "Mabeberu" hata wao ni "Mabeberu".
Ningeshangaa kama usingepanick.Tatizo lako bogus wewe nilishakwambia awali ufuatilii kitu kingine chochote zaidi ya siasa za JF, ndio maana sishangai kuona unatetea kila ya aina ya upuuzi wa Lissu.
Nenda ukamwambie Lissu asijifananishe na Magu sio size yake.Ningeshangaa kama usingepanick.
Sawasawa kama tapeli basi endeleeni kufanya ujinga wenu muone matokeo, dadekiiiiAmsterdam ni tapeli mpiga debe tu, wala usiwe na wasiwasi naye kabisa. Ubaya kwake ni kuwa anapambana na mtu mwenye msimamo. Wewe focus kwenye uchaguzi tu usihangaike na Amsterdam hata siku moja; atalala usingizi muda wowote kuanzia sasa.
Hizo ni siasa za kizamani.Ukiwa mjamaa huwezi kuwa bilionea.Nyerere ni mjamaa halisi.Mpaka anaondoka madarakani hakuwa na mali.Alipoona Ujamaa umefeli duniani aliamua kuondoka.Hizo globalization,free trade,free economy,they are just "terminologies".Zote Zina akisi mifumo ya kibepari na kibeberu!Usipotoshe issues hapa....Kama hujui nyamaza...maana ya ubeberu kwa kiingereza ni imperialism...na imperialism bado ipo..Imperialism tendencies bado zipo...unachozungumza kuhusu mfumo ni globalization au utandawazi ambapo capitalism ndiyo engine yake.,
Kamwambie magufuli hamuwezi Lissu, alishindwa kumuua na hatamuweza pia kwenye Sanduku la kuraNenda ukamwambie Lissu asijifananishe na Magu sio size yake.
Yeye kazoea kuiga anachofanya Magufuli ila mwenzake ajali anachofanya mara sijui ohoo mimi kigulu nazunguka nchi nzima who cares Magu na team yake nzima ya makamu na PM awawezi .
Nani kamwambia strategy ya CDM na CCM kwenye campaign zilikuwa sawa aache kujilinganisha na raisi wa nchi.
Ccm vilaza ndugu wavumilie tuHizo ni siasa za kizamani.Ukiwa mjamaa huwezi kuwa bilionea.Nyerere ni mjamaa halisi.Mpaka anaondoka madarakani hakuwa na mali.Alipoona Ujamaa umefeli duniani aliamua kuondoka.Hizo globalization,free trade,free economy,they are just "terminologies".Zote Zina akisi mifumo ya kibepari na kibeberu!
Nani anataka kujifananisha na rais wa Tanzania? Au unamuona rais wa Tanzania ni mtu superior sana mpaka itokee mtu anataka kujifananisha naye? Ingekuwa rais wa US ingekuwaje? Ww kwakuwa ni limbukeni ndio unamuona rais wa Tanzania ni mtu wa maana sana.Nenda ukamwambie Lissu asijifananishe na Magu sio size yake.
Yeye kazoea kuiga anachofanya Magufuli ila mwenzake ajali anachofanya mara sijui ohoo mimi kigulu nazunguka nchi nzima who cares Magu na team yake nzima ya makamu na PM awawezi .
Nani kamwambia strategy ya CDM na CCM kwenye campaign zilikuwa sawa aache kujilinganisha na raisi wa nchi.
Ijumaa sio mbali ‘hayawi hayawi,.....’ Magufuli anashinda asubuhi na mapema. Tuone Lissu na Amsterdam watafanya nini.Kamwambie magufuli hamuwezi Lissu, alishindwa kumuua na hatamuweza pia kwenye Sanduku la kura
Waku destabilize una nini wewe?? Ndo propaganda mnazolishana huko lumumba😂😂Lisu = Kigogo (chahali)= amsterdam hiyo ni project moja ya mabeberu kujaribu kutu destabilize.
Hayo sasa kamwambie Lissu kutwa kujifananisha nae, kama nilivyokwambia wewe uwa ufuatilii chochote nje ya JF.Nani anataka kujifananisha na rais wa Tanzania? Au unamuona rais wa Tanzania ni mtu superior sana mpaka itokee mtu anataka kujifananisha naye? Ingekuwa rais wa US ingekuwaje? Ww kwakuwa ni limbukeni ndio unamuona rais wa Tanzania ni mtu wa maana sana.
Jiwe nje ya mifumo ya dola(polisi+tiss),idara za serikali pamoja na tume ya uchaguzi,ambazo zinambeba ni mwepesi kuliko unyoya wa kuku.Nenda ukamwambie Lissu asijifananishe na Magu sio size yake.
Yeye kazoea kuiga anachofanya Magufuli ila mwenzake ajali anachofanya mara sijui ohoo mimi kigulu nazunguka nchi nzima who cares Magu na team yake nzima ya makamu na PM awawezi .
Nani kamwambia strategy ya CDM na CCM kwenye campaign zilikuwa sawa aache kujilinganisha na raisi wa nchi.
We uliona wapi Mabeberu wanaangaika na nchi ambayo haina natural resources wanazozitaka. Rwanda haina natural resources ndo maana Mabeberu hawakuingilia Kati. Nchi zenye raslimali ndo Mabeberu hukimbilia kuiba na kupora kwa mgongo wa haki za binadamu na Demokrasia. Mfano hai angalia Kilichotokea Libya,(Mafuta) Congo(Madini) DRC, Venezuela (Mafuta) n.k hutakaa usikie Beberu ameingilia mambo ya ndani ya nchi isiyo na raslimaliJumuiya ya kimataifa haiko tayari tena kubeba lawama kwa yaliyotokea Rwanda kwenye mauwaji ya kimbari.
Jumuiya ya kimataifa iliwacha Warwanda wafanye watakavyo mwisho wa siku wakalaumiwa wao kwa kutoingilia kati.
Sasa hivi wanachofanya jumuiya ya kimataifa siyo kuingilia kati wakati damu inamwagika bali kuzuia mapema kwa kuwaonya mabeberu weusi wajuwe kwamba mienendo yao inafuatiliwa kwa karibu.
Wewe mtu unayo 'akili' nzuri?Hapa duniani kuna sheria tu, haki iko mbinguni kwa Mwenyezi Mungu. Hivyo kwetu hapa duniani haki ni zile sheria tulizojitungia wenyewe kwenye bunge letu na haki za aina hiyo hupatikana mahakamani tu kama unaona au kuhisi hujatendewa haki.
Tume yetu iko huru kwa mjibu wa sheria zetu na katiba yetu. Kama unahisi haiko huru nenda kaidai mahakamani, vinginevyo utakuwa unataka kuleta vurugu na kuvunja amani yetu.