Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

Naogopa kujipendekeza au Kulazimisha mawasiliaono.
Nikishaona unajibu text kwa Maneno mawili hata kama nilikupa status gani, naanza kukuita mkuu au kiongozi[emoji3][emoji3]

hahahaha[emoji23] umetisha yani unamuita mtoto mzuri kiongozi, mimi kuna majina yameshashindwa kutoka mdomoni kwangu mfano Dada, hakuna mwanamke namuita dada its either nimuite jina lake au nimuite Dear,Baby nk


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom