pocknut
Senior Member
- Aug 10, 2019
- 159
- 240
😂😂😂 inakera mnooo!Hahaha..!
Kaah'..! Umenichekesha sana! Vile sipendi maswali ndiyo maana sikuwahi penda mitihani.!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 inakera mnooo!Hahaha..!
Kaah'..! Umenichekesha sana! Vile sipendi maswali ndiyo maana sikuwahi penda mitihani.!
😂😂😂😂Nadhani upo kama mimi chat ya kushosha siwezi niko hivyo kuchat kiasi mpaka vidole vinatoka jasho siwezi au kuandika message ndefu siwezi.
Naogopa kujipendekeza au Kulazimisha mawasiliaono.
Nikishaona unajibu text kwa Maneno mawili hata kama nilikupa status gani, naanza kukuita mkuu au kiongozi[emoji3][emoji3]
Bora umenistua maana ningenogewa na kuanza kutoa siri za kambi bure hapa!Haha..
Hii umbeya tutaenda malizia kule, kusutwa uzee wote huu nitaweza kweli??
Hawa wa humu ndio nataka..Mkuu wadogo zangu ni sawa na wadogo zako..!
[emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa yesu oooh sorry kumbe tupo jukwaani nikajua ni pm 😁😁😁
Huo ni udhaifu wangu na kueleweka ni kazi 😀😀😀😀😂😂😂😂
Kumbe tupo wengi wa namna hii..!! 🤣🤣 Tutachuniwa mpakaaa
Kwa yesu oooh sorry kumbe tupo jukwaani nikajua ni pm [emoji16][emoji16][emoji16]
Ule uzi nimeususa mpendwa nina miezi sijatembelea kuweka picha.hahaha unijibu hivo PM ufe ?🤣
ukiweka picha kwenye ule uzi wetu nitag basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mie niwe na njaa wewe unitumie picha ya samaki nitakuelewa kweli.??Haaaaa waswahili waliosema fimbo ya mbali haiui nyoka hawakukosea ujue
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wahindi?sana mkuu[emoji23], mrembo mrembo nyingi sana na majina matamu, yani mambo mengine ni aibu tupu aise
Ule uzi nimeususa mpendwa nina miezi sijatembelea kuweka picha.
😂😂Mwanangu unaijua lugha, una mashairi flani hivii yamesimamia kucha.!
Na wahindi?
Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?