Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Hahah!nasubiri mtandao uwe sawa nisome thread zako[emoji16]
Sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah!nasubiri mtandao uwe sawa nisome thread zako[emoji16]
Kabisaa Brother..Kwann pm ikae ukiwa na mods wapo?
Hii kitu nilishasuggest ukakataa
Mkuu sitaki kuiga kunya kwa tembo kwa maana kila mtu na uchukuliaji wake wa vitu.. nazingua ki mantiki yako ila sizingui kimantiki yangu.
Vyema...
Ahahahaah...na ubaya ndio huja hapo sasa....ddaah!!!!😂😂😂 brother hivi wewe ni wa kunidanganya hata mimi. Subiri kwani humi jf huwa kuna siri, ukishaharibu watafungua id mpya kuja kukisanua na usikimbie sasa 😂
Unamantain sense wapi akati unatumia ID ya matukio na unaaachia akili zote huko ... common sense is not common mzee kwenye hizi vituAhahahaah...na ubaya ndio huja hapo sasa....ddaah!!!!
No way..
Ndio mana hupaswi kuwa na evil motive unapofuata watu pm au ukifuawa.Ni muhim ku maintain sense hukoo
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Pm ya mwisho ilikua Feb..
Nilimwambia nimekumiss sikuoni jukwaani..Akasema Kamiss dada zako
[emoji47][emoji47][emoji42][emoji42]
Ngoja siku wakusanue ndio utakapohis kama wanakujua live live kumbe wanaifaham Id tuUnamantain sense wapi akati unatumia ID ya matukio na unaaachia akili zote huko ... common sense is not common mzee kwenye hizi vitu
Hiki kikao muafaka ni nini?
mkuu muafaka ni kuchati tu mambo mbalimbali ili tufurahi maana imeonekana kwamba watu wakileta ushuhuda itasababisha chuki kutoka kwa jinsia yetu kwenda kwa KE
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay, maana niliondoka kwa muda. Sasa nilivyorudi ikabidi niulize kuona kama kuna maazimio yoyote.
Na vipi PM, tuendelee kwenda?
hahaha[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu PM nenda at your own risk, maswala ya kwenda afu ujibiwe vibaya mkirudi jukwaani mnuniane sio mazuri lakini🤣
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja siku wakusanue ndio utakapohis kama wanakujua live live kumbe wanaifaham Id tu
Kwa sasa naona kabisa kuna ulazima huo, maana dah! Corona iishe tu aisee.
Anza kunitumia yako basi,natamani kujua yaliyopo huko
Hahaha, halafu nimeibadili juzi juzi tu, ilikuwa ni Joanah@123
Yangu mie ni ile ile DonJoJo
Nitajie basi hiyo mpya
PitiaNgoja kwanza niipitie kwanza, kusije kukawa na vimeo.