Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

😂😂😂 brother hivi wewe ni wa kunidanganya hata mimi. Subiri kwani humi jf huwa kuna siri, ukishaharibu watafungua id mpya kuja kukisanua na usikimbie sasa 😂
Ahahahaah...na ubaya ndio huja hapo sasa....ddaah!!!!
No way..
Ndio mana hupaswi kuwa na evil motive unapofuata watu pm au ukifuawa.Ni muhim ku maintain sense hukoo
 
mkuu muafaka ni kuchati tu mambo mbalimbali ili tufurahi maana imeonekana kwamba watu wakileta ushuhuda itasababisha chuki kutoka kwa jinsia yetu kwenda kwa KE


Sent using Jamii Forums mobile app

Okay, maana niliondoka kwa muda. Sasa nilivyorudi ikabidi niulize kuona kama kuna maazimio yoyote.

Na vipi PM, tuendelee kwenda?
 
Okay, maana niliondoka kwa muda. Sasa nilivyorudi ikabidi niulize kuona kama kuna maazimio yoyote.

Na vipi PM, tuendelee kwenda?

hahaha[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu PM nenda at your own risk, maswala ya kwenda afu ujibiwe vibaya mkirudi jukwaani mnuniane sio mazuri lakini🤣


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja siku wakusanue ndio utakapohis kama wanakujua live live kumbe wanaifaham Id tu

Kuna watu ni private investigators..wanasense hadi muandiko so wewe jiachie kumbe washakujua kitambo ni nani.. wanajua hadi unafanya kazi ofisi gani na uzi ukishawekwa ndo utawajua kwa michango yao
 
Back
Top Bottom