Hivi ni kawaida kuombwa namba na mwanamke? 🤔

Hahah mpe tu mkuu
 
Nimeombwa namba hapa na Mama mwenye nyumba sijamwelewe kabisa, afu ni mama mtu mzima [emoji23][emoji23][emoji23].

Hii dunia hii ishakuwa lugha gongana, ngoja nione ataifanyia kazi gani hiyo namba.

Binafsi nimempa mi sio mchoyo wa namba.
 
Kaa chonjo mkuu.
 
Wewe ni mshamba, nimeombwa namba na
Mwanamke tumeonana siku hiyo hiyo, ila yuko busy sana. Juzi kanichatisha kidogo anakoelekea nimejiongeza ili safari iwe fupi.
Naamini tutafika. Wewe endelea kuleta uvulana wako huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…