mjenziwakale
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 954
- 1,469
Huu upuuzi hata kwangu upo sana ila huwa sometimes nafunga macho naacha kabisa kutoa hela ya kuendesha familia namuacha ahangaike na ubahili wake, atajipikilisha wali maharage kila siku. Mimi nasema yes, kamanda usilegeze Kamba siku nyingine fanya hvo tena, vinginevo utamzoesha vibaya huyo mwanamke. Mfanye atambue kwamba pesa zake pia ni kwa ajili ya kuhudumia familia pia.