My hair my crown
JF-Expert Member
- Feb 5, 2016
- 898
- 2,478
sasa hii 50/50 huwa mnaitaka ya nini?
50/50 kwenye nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa hii 50/50 huwa mnaitaka ya nini?
50/50 kwenye nini?
Ndio kama ulivyosoma hapo juu sheikh..😂Sheikh wangu umepatwa na nini tena?
Hiyo user name ni Sir John Roberts na siyo Sir Elton John usichanganye .Wewe na Sir John Elton ni marafiki? Au Elton John
Nani huyo anataka haki sawa ndani ya nyumba! Na tulikubaliana kwa kikao hyo hai apply huko.Sasa mbona mmeshupaza shingo kuzitaka haki sawa ndani ya nyumba. Ama kweli wanawake hata hamjui nini mnataka
Simple tu si uende tu kwa wazungu, tutakuchosha sisi ma empty set.Kwa hiyo wanawake wa kizungu na wa kiafrika ni nature 2 tofauti.
Wanawake wa kiafrika ni zero brain.
Hana pesa yake , pesa ni zetu wote Mimi na yeye kwahiyo sirudishi na nashukuru anaelewa hilo na hawezi kuniambia huo upuuzi. Na kwasasa ametulia baada ya kugundua nimechukizwa na hiyo tabia.🤫Mrudishie pesa yake ndicho anachotaka.
Sisi kauaji kivipi jamani?We ni kauaji😂😂
Inshallah....Ndio kama ulivyosoma hapo juu sheikh..😂
Kuna case ilitokea hospitali dada anachangia familia yake mume alikua haendi kazini,huwezi amini yule dada akawehuka sababu ya mume wake hachangii chochote kwenye familia,kuwahoji watoto nao wanasema hivo hivo,yaani mwanaume kukosa pesa ni trigger ya mwanamke kupata magonjwa ya akili,daaah Dunia hadaaa hiiHebu niambieni ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo kwaajili ya matumizi ya ndani ya nyumba Huwa anaongea sana maneno mengi halafu muda mwingi anakua na hasira na kununa nuna hovyo ?
Hebu niambieni ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo kwaajili ya matumizi ya ndani ya nyumba Huwa anaongea sana maneno mengi halafu muda mwingi anakua na hasira na kununa nuna hovyo ?
Wana midomo miwili Acha waongeeHebu niambieni ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo kwaajili ya matumizi ya ndani ya nyumba Huwa anaongea sana maneno mengi halafu muda mwingi anakua na hasira na kununa nuna hovyo ?
Sio nature wapi au ni ukupe wenu tu wanawake by nature ni wanyonyaji sana..Ku provide si nature yetu.
Afu tatu tuKidogo kama sh ngapi?
Ok bas msalimie kupe wakoSio nature wapi au ni ukupe wenu tu wanawake by nature ni wanyonyaji sana..
Umemaliza ila inatakiwa tuwawajibikie kwa hekima hawa maproducerKu provide si nature yetu.
Sasa kwanini mnafanyakazi? Mkae mgegedwe tuu.Ku provide si nature yetu.
Hawa. Viumbe tuishi nao kwaakili sana nimejifunza Mimi hata baadhi ya mapato yangu siweki wazi ni wabinafsi sana.Kuna case ilitokea hospitali dada anachangia familia yake mume alikua haendi kazini,huwezi amini yule dada akawehuka sababu ya mume wake hachangii chochote kwenye familia,kuwahoji watoto nao wanasema hivo hivo,yaani mwanaume kukosa pesa ni trigger ya mwanamke kupata magonjwa ya akili,daaah Dunia hadaaa hii
Tunalifanyia kazi hlo kuanzia kesho.Sasa kwanini mnafanyakazi? Mkae mgegedwe tuu.
Haswaa hatutakiwi kuwa wajeuri tuna wavunja moyo sana.Umemaliza ila inatakiwa tuwawajibikie kwa hekima hawa maproducer