Hivi ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo tu ndani ya nyumba kwa matumizi anaongea sana na kununa nuna?

Huu upuuzi hata kwangu upo sana ila huwa sometimes nafunga macho naacha kabisa kutoa hela ya kuendesha familia namuacha ahangaike na ubahili wake, atajipikilisha wali maharage kila siku. Mimi nasema yes, kamanda usilegeze Kamba siku nyingine fanya hvo tena, vinginevo utamzoesha vibaya huyo mwanamke. Mfanye atambue kwamba pesa zake pia ni kwa ajili ya kuhudumia familia pia.
 
Zama zinabadilika mdogo wangu. Wewe endekeza mambo ya 1984 mwaka huu wa 2024, utakuja kusimulia hapa..
Hawa ndiyo wake zetu dogo, msikilize, utajifunza mengi
Your browser is not able to display this video.
 
Ahahahah mambo ya Gwanseri haya, mushungute, kanyamaganda......una point mkuu usikilizwe
 
Duh
 
Mbona hatutao vijana wengi maana mpaka uje ukae sawa kiu humi tayari miaka 40
Muoe binti ambae kwao siyo tegemezi na wewe pia kwenu siyo tegemezi ata ukilipwa laki 5 kwa mwezi mtafanya malengo mazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…