Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
- Thread starter
-
- #21
Wewe subiri ugali upikwe hapo nyumbani kwenu mchana ule hii topik haikuhusu subiri utakapokua na nyumbani kwako.Tafuta pesa mkuu acha kushinda masjid.
Sio wababe wa maisha. Wameumbwa kulia lia na kudeka deka. Sisi ndiyo magwiji wa lifeHebu niambieni ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo kwaajili ya matumizi ya ndani ya nyumba Huwa anaongea sana maneno mengi halafu muda mwingi anakua na hasira na kununa nuna hovyo ?
Mwanamke ukishamruhusu aprovide mwishonataishia kukuletea mcheps nyumbani kama sio kukutia kidole kabisaKu provide si nature yetu
Lazima na dharau zina anza hapo hapo, japo kuna wanawake wachache mno wanaweza hayo ana provide na halalamiki.
Hawapendi kusikia hili ila ndio ukweli umewasanua 🤣🤣🤣🤣Kama vile ambavyo mwanaume kuwa na mwanamke mmoja si nature yetu au siyo?
Nyie tuachieni tu si kusaidiana 😂😂Mwanamke ukishamruhusu aprovide mwishonataishia kukuletea mcheps nyumbani kama sio kukutia kidole kabisa
Ehwaaa kabisaKama vile ambavyo mwanaume kuwa na mwanamke mmoja si nature yetu au siyo?
Daah aiseSababu Ni wanawake kuamini ndoa Ni ajira, Yeye ndo hustahili kulipwa na sio kulipa.
Uliona wapi mwajiriwa anatumia pesa zake kugharamia ofisi?
Mhm hapana mie nataka uhuru wangu wakuweza kuchepuka.Nie tuachieni tu si kusaidiana 😂😂
Bora umekubali ukweli wa mambozEhwaaa kabisa
U got that right! Every mbususu has a price wee ifikie nanuipite unajibe ea tuu mrembo.Kiasili mwanamke kaumbwa na tamaa , wivu, na ubinafsi plus uchoyo , hivo ni rahisi kwa mwanaume kumtunza mke wake ambaye Hana kazi kwa miaka 10, wewe mwanaume ukiyumba miezi miwili akakuhudumia anaanza na dharau kwako na watu wako, mwanamke hajawahi kutosheka iwe amesoma au hajasoma na ndio maana kama Unampa 10k akija wa laki moja anamchukua na kama Unampa laki moja akitokea wa kumpa milioni moja anamchukua ,kiufupi Sana wanawake wote duniani Wana price tag ukifika bei unambeba hata awe mke wa mtu,
Mbona hatutao vijana wengi maana mpaka uje ukae sawa kiu humi tayari miaka 40Nikweli Mkuu vijana tusikurupuke kuoa tu kwa kuangalia Nyashi tuangalie Uchumi wa familia wa muolewaji na muoaji.
ilishazoeleka hyo Mwanaume kichwa cha familia sasa kumtwisha mzigo siowake lazima anune na kununa kwake ni kwa wema tu kwani anajaribu kuku alert mbona kama umesahau majukum yako usizoe tena.kwahyo mtoa mada ondoa shaka juu ya hilo.Hebu niambieni ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo kwaajili ya matumizi ya ndani ya nyumba Huwa anaongea sana maneno mengi halafu muda mwingi anakua na hasira na kununa nuna hovyo ?
Ukweli kabisa mkuu ✅️Kwao itakua uchumi siyo mzuri Mwanamke kama kwao hakuna shida anakua na furaha, fikiria Kwao njaa na ametumia pesa yake kununua chakula chenu na wewe upo anona unakula na wakati huo kwao hawajala siku nzima au wanakula mlo mmja lazima anune.Ni muimu Vijana kabla ya kuoa au kutafuta Mwenza wa Maisha tujaribu kuchunguza familia za wenza wetu Tabia zao na Uchumi wao, Nashauri vijana kama Mchumba wako kwao Masikini si vizur kufunga nae ndoa, Kwasabu kipato cheng kitakua kinatibu ugonjwa usiopona ugonjwa wenyewe ni Umasikini, Mfano Utakuta Mke na mume Wanafanya kazi Mke Mshahara 350k na Mume 450K.
Sasa Mwanamke ana malengo ya kuwajengea Nyumba Wazazi wake na kuhudumia ndugu zake.
Kwa kweliKwao itakua uchumi siyo mzuri Mwanamke kama kwao hakuna shida anakua na furaha, fikiria Kwao njaa na ametumia pesa yake kununua chakula chenu na wewe upo anona unakula na wakati huo kwao hawajala siku nzima au wanakula mlo mmja lazima anune.Ni muimu Vijana kabla ya kuoa au kutafuta Mwenza wa Maisha tujaribu kuchunguza familia za wenza wetu Tabia zao na Uchumi wao, Nashauri vijana kama Mchumba wako kwao Masikini si vizur kufunga nae ndoa, Kwasabu kipato cheng kitakua kinatibu ugonjwa usiopona ugonjwa wenyewe ni Umasikini, Mfano Utakuta Mke na mume Wanafanya kazi Mke Mshahara 350k na Mume 450K.
Sasa Mwanamke ana malengo ya kuwajengea Nyumba Wazazi wake na kuhudumia ndugu zake.
Nature yenu ni nini?Ku provide si nature yetu.
Unyama sana mwaisaMhm hapana mie nataka uhuru wangu wakuweza kuchepuka.
Ata akinidaka namuuliza tuu unakosa nini hapa ndani ya nyumba? Kama uridhiki na huduma nenda katafute anayekufaa