Hivi ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo tu ndani ya nyumba kwa matumizi anaongea sana na kununa nuna?

Hebu niambieni ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo kwaajili ya matumizi ya ndani ya nyumba Huwa anaongea sana maneno mengi halafu muda mwingi anakua na hasira na kununa nuna hovyo ?
Sio wababe wa maisha. Wameumbwa kulia lia na kudeka deka. Sisi ndiyo magwiji wa life
 
Kiasili mwanamke kaumbwa na tamaa , wivu, na ubinafsi plus uchoyo , hivo ni rahisi kwa mwanaume kumtunza mke wake ambaye Hana kazi kwa miaka 10, wewe mwanaume ukiyumba miezi miwili akakuhudumia anaanza na dharau kwako na watu wako, mwanamke hajawahi kutosheka iwe amesoma au hajasoma na ndio maana kama Unampa 10k akija wa laki moja anamchukua na kama Unampa laki moja akitokea wa kumpa milioni moja anamchukua ,kiufupi Sana wanawake wote duniani Wana price tag ukifika bei unambeba hata awe mke wa mtu,
 
U got that right! Every mbususu has a price wee ifikie nanuipite unajibe ea tuu mrembo.
 
Hebu niambieni ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo kwaajili ya matumizi ya ndani ya nyumba Huwa anaongea sana maneno mengi halafu muda mwingi anakua na hasira na kununa nuna hovyo ?
ilishazoeleka hyo Mwanaume kichwa cha familia sasa kumtwisha mzigo siowake lazima anune na kununa kwake ni kwa wema tu kwani anajaribu kuku alert mbona kama umesahau majukum yako usizoe tena.kwahyo mtoa mada ondoa shaka juu ya hilo.
 
Kwao itakua uchumi siyo mzuri Mwanamke kama kwao hakuna shida anakua na furaha, fikiria Kwao njaa na ametumia pesa yake kununua chakula chenu na wewe upo anona unakula na wakati huo kwao hawajala siku nzima au wanakula mlo mmja lazima anune.Ni muimu Vijana kabla ya kuoa au kutafuta Mwenza wa Maisha tujaribu kuchunguza familia za wenza wetu Tabia zao na Uchumi wao, Nashauri vijana kama Mchumba wako kwao Masikini si vizur kufunga nae ndoa, Kwasabu kipato cheng kitakua kinatibu ugonjwa usiopona ugonjwa wenyewe ni Umasikini, Mfano Utakuta Mke na mume Wanafanya kazi Mke Mshahara 350k na Mume 450K.
Sasa Mwanamke ana malengo ya kuwajengea Nyumba Wazazi wake na kuhudumia ndugu zake.
Ukweli kabisa mkuu ✅️
 
Kwa kweli
 
Back
Top Bottom