Hivi ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo tu ndani ya nyumba kwa matumizi anaongea sana na kununa nuna?

Wio wote. Mbona mama zetu wamezeekeana na baba zetu. Sio kila fikra yako inakua na ukweli.
 
Unyama sana mwaisa
Ah bro nilishajua mie siku hizi naendesha maisha yangu kikompyuta. Yes or no basi.
Mwanamke namlisha alafu aniletee dyokofyoko mie siwezi.
Its alway my way or the highway.
Muhimu najua mie nina roho nzuri siwezi muonea mwanamke ila tuu afuate misimamo yangu. Ata yeye nitampa ruhusa ya kuchepuka mara 4 kwa mwaka maan kibamia nacho kinachosha😜
 
Hebu niambieni ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo kwaajili ya matumizi ya ndani ya nyumba Huwa anaongea sana maneno mengi halafu muda mwingi anakua na hasira na kununa nuna hovyo ?

1. Wanawake wameumbwa ni wabinafsi ipo kwenye nature yao

2. Mwanamke anatakiwa kupokea si kutoa
 
Ukimwi sasa tutapona kweli. ?
 
Katumia elf 70 Mimi sikuwepo kama siku 3 hivi na kweli sikuacha fedha ya matumizi ila chakula kilikuwepo ndani gesi ipo , umeme upo ila nimekuja kukuta malalamiko sana anasema vitu vidogo vidogo amenunua mpaka ameandika kwenye daftari. Aisee
Fukuza huyo mwanamke hamna binadamu hapo kuna shetani tuu hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…