Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wio wote. Mbona mama zetu wamezeekeana na baba zetu. Sio kila fikra yako inakua na ukweli.Kiasili mwanamke kaumbwa na tamaa , wivu, na ubinafsi plus uchoyo , hivo ni rahisi kwa mwanaume kumtunza mke wake ambaye Hana kazi kwa miaka 10, wewe mwanaume ukiyumba miezi miwili akakuhudumia anaanza na dharau kwako na watu wako, mwanamke hajawahi kutosheka iwe amesoma au hajasoma na ndio maana kama Unampa 10k akija wa laki moja anamchukua na kama Unampa laki moja akitokea wa kumpa milioni moja anamchukua ,kiufupi Sana wanawake wote duniani Wana price tag ukifika bei unambeba hata awe mke wa mtu,
Asilimia kubwa wapo hivyo wala usiumize kichwa chakoHebu niambieni ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo kwaajili ya matumizi ya ndani ya nyumba Huwa anaongea sana maneno mengi halafu muda mwingi anakua na hasira na kununa nuna hovyo ?
Ah bro nilishajua mie siku hizi naendesha maisha yangu kikompyuta. Yes or no basi.Unyama sana mwaisa
Mama yako alishawekewa $1million mezani?Wio wote. Mbona mama zetu wamezeekeana na baba zetu. Sio kila fikra yako inakua na ukweli.
Wananuna kama wamekatwa miguu.Hebu niambieni ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo kwaajili ya matumizi ya ndani ya nyumba Huwa anaongea sana maneno mengi halafu muda mwingi anakua na hasira na kununa nuna hovyo ?
Punguza hasira, maisha hayataki hasira uta chizika bure alafu kesho tukukute Milembe!!Wewe joined 2014 na bado new member!
Hebu niambieni ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo kwaajili ya matumizi ya ndani ya nyumba Huwa anaongea sana maneno mengi halafu muda mwingi anakua na hasira na kununa nuna hovyo ?
Hayo matusi sasa mkuu. Pesa sio kila kitu na tusitukaniane wazazi heshima ifuate mkondo.Mama yako alishawekewa $1million mezani?
Ukimwi sasa tutapona kweli. ?Ah bro nilishajua mie siku hizi naendesha maisha yangu kikompyuta. Yes or no basi.
Mwanamke namlisha alafu aniletee dyokofyoko mie siwezi.
Its alway my way or the highway.
Muhimu najua mie nina roho nzuri siwezi muonea mwanamke ila tuu afuate misimamo yangu. Ata yeye nitampa ruhusa ya kuchepuka mara 4 kwa mwaka maan kibamia nacho kinachosha😜
moyoni sasa!I can purchase things way more than my husband and say nothing about it.
sasa hii 50/50 huwa mnaitaka ya nini?Ku provide si nature yetu.
You have said it now!!!I can purchase things way more than my husband and say nothing about it.
Sasa hapo nimekutukana vipi mzeya.Hayo matusi sasa mkuu. Pesa sio kila kitu na tusitukaniane wazazi heshima ifuate mkondo.
Mrudishie pesa yake bro.Katumia elf 70 Mimi sikuwepo kama siku 3 hivi na kweli sikuacha fedha ya matumizi ila chakula kilikuwepo ndani gesi ipo , umeme upo ila nimekuja kukuta malalamiko sana anasema vitu vidogo vidogo amenunua mpaka ameandika kwenye daftari. Aisee
Ukiwajua wanawake haitokupa shida ndio maana anakukataa Leo miaka minne mbele anajileta tena kwako , ni watu waliojawa roho ya Kutokua na msimamo kwa lolote lileKimenuka muda gani humo kwako? Au ndio kinanukishwa
Sasa kuna kifo hakina sababu? Ukimwi nao ninsababu ya kifo mzeyaUkimwi sasa tutapona kweli. ?
Ww unasemaje mamako ashawekewa $1million jitambue mkuu. Hili ni tusi maana unataka umaanishe akowekewa anapigwa jipe hekima kidgoSasa hapo nimekutukana vipi mzeya.
Pesa kila kitu weye bwana acha story hapa.
Fukuza huyo mwanamke hamna binadamu hapo kuna shetani tuu hapoKatumia elf 70 Mimi sikuwepo kama siku 3 hivi na kweli sikuacha fedha ya matumizi ila chakula kilikuwepo ndani gesi ipo , umeme upo ila nimekuja kukuta malalamiko sana anasema vitu vidogo vidogo amenunua mpaka ameandika kwenye daftari. Aisee