Hivi ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo tu ndani ya nyumba kwa matumizi anaongea sana na kununa nuna?

Hivi ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo tu ndani ya nyumba kwa matumizi anaongea sana na kununa nuna?

Hebu niambieni ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo kwaajili ya matumizi ya ndani ya nyumba Huwa anaongea sana maneno mengi halafu muda mwingi anakua na hasira na kununa nuna hovyo ?
Masikini yoyote yule linapokuja swala la pesa lazima awe na hasira kwa sababu hana pesa au pesa yake ni kidogo sana
 
Hebu niambieni ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo kwaajili ya matumizi ya ndani ya nyumba Huwa anaongea sana maneno mengi halafu muda mwingi anakua na hasira na kununa nuna hovyo ?
Kwao itakua uchumi siyo mzuri Mwanamke kama kwao hakuna shida anakua na furaha, fikiria Kwao njaa na ametumia pesa yake kununua chakula chenu na wewe upo anona unakula na wakati huo kwao hawajala siku nzima au wanakula mlo mmja lazima anune.Ni muimu Vijana kabla ya kuoa au kutafuta Mwenza wa Maisha tujaribu kuchunguza familia za wenza wetu Tabia zao na Uchumi wao, Nashauri vijana kama Mchumba wako kwao Masikini si vizur kufunga nae ndoa, Kwasabu kipato cheng kitakua kinatibu ugonjwa usiopona ugonjwa wenyewe ni Umasikini, Mfano Utakuta Mke na mume Wanafanya kazi Mke Mshahara 350k na Mume 450K.
Sasa Mwanamke ana malengo ya kuwajengea Nyumba Wazazi wake na kuhudumia ndugu zake.
 
Hebu niambieni ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo kwaajili ya matumizi ya ndani ya nyumba Huwa anaongea sana maneno mengi halafu muda mwingi anakua na hasira na kununa nuna hovyo ?
Tafuta pesa mkuu acha kushinda masjid.

Kwanza Mwanamke ni pambo la nyumba anatakiwa ajifungie ndani ajirembe tu ili ukirudi umtumie, Kuruani 32:2
 
Back
Top Bottom