Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,096
- 22,826
Nusu nitapike yaani
Nusu nitapike yaani
Wewe hebu nenda kaendelee kuunga mkono juhudi za mwenyekiti tuache sisi tusio na mashiko na biashara yenu ya kisiasa...... Tuache tunajadili mambo ya msingi hapa na watanzania wenzangu tukiwaandalia a better tomorrow watoto na wajukuu wetu.....ndo maisha na uwezo wetu ulipoishia hapo usifos tufanane na watu wengine.
tatizo lenu mlio wengi ndo Hilo mnajidharau Sana na kijipima kwa wazungu.
sisi hata tukila mavi, tukaishi mapangoni ama kulala kwenye miti sawa tu maana ndo sisi.
yaani SISI.
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Hii mada ni kubwa sana kwako ndugu. Kwa kifupi iko juu yako saaaana. Ni vizuri tu ukasoma na kupita kimyakimya ndugundo maisha na uwezo wetu ulipoishia hapo usifos tufanane na watu wengine.
tatizo lenu mlio wengi ndo Hilo mnajidharau Sana na kijipima kwa wazungu.
sisi hata tukila mavi, tukaishi mapangoni ama kulala kwenye miti sawa tu maana ndo sisi.
yaani SISI.
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Inasikitisha Sana hyo Hali watu wanauziana 15 kwa 15 mbona vidogo nyumba zinabana kunakuwa hamna hata hewa Kati ya nyumba na nyumba, nadhani mipango Miji na halmashauri zimelala, nimependa jinsi Dodoma kunavojengeka wanajitahidi Kuna maeneo hauruhusiwi kujenga nyumba ya chini, ni ghorofa tu pia viwanja vina distance nzuri na kunapendeza.Bunju ni ule upande wa bunju A tu. Na ni sehemu ndogo sana ukiwa unaelekea maeneo ilipo shule ya MOGA ile lami inayoelekea mbweni....
Ila huku upande wa chini waswahili wameshavamia kumekuwa kama mbagala.
Shida ni upigaji, kwa maana hela zilishatolewa kwa msaada wa benki ya dunia kujenga pilot project ya makazi. Ila jamaa wakapiga zile hela matokeo yake wamefanya vipimo sehemu ndogo sana.
Ila ukija huku upande mwingine wamepaacha kama palivyo na raia wa kiswahili wameshanya yao na vile viwanja vyao vya kipimo cha 15 kwa 15.
So kimsingi tunafelishwa na mipango ya serikali ambayo inasubiria mambo ya harabike ndipo wajue la kufanya ila sio kujenga mipango sahihi ya kuujenga mji.
Dodoma kuna watendaji wana akili kidogo kama yule Mkurugenzi wa Jiji. Wameanza vizuri kwa kweli ila ninavyoona siasa zimeanza kuingia na pameshaanza kuharibika. Bora waamke saivi.Inasikitisha Sana hyo Hali watu wanauziana 15 kwa 15 mbona vidogo nyumba zinabana kunakuwa hamna hata hewa Kati ya nyumba na nyumba, nadhani mipango Miji na halmashauri zimelala, nimependa jinsi Dodoma kunavojengeka wanajitahidi Kuna maeneo hauruhusiwi kujenga nyumba ya chini, ni ghorofa tu pia viwanja vina distance nzuri na kunapendeza.
Ila in short jiji la Dar ni slums kila corner sehemu zilizopimwa ka sinza watu wamejenga hovyo hovyo no space ni kuta kwa kuta tu.
Mzungu pamoja na kuwa simpendi, lakini ana uwezo wa kutumia akili yake kuyaweka maisha yake na yale ya wananchi wenzake yakawa rahisi na ya kupendeza.Hayo maeneo yote yalianzishwa na Muzungu kwa ajili ya Muzungu na Muhindi, sisi maeneo yetu yalikuwa Magomeni, Temeke, na kwingineko, lkn mpaka leo hii tumeshindwa kabisa kuanzisha maeneo yetu mapya yenye hadhi na mazingira ya kuvutia kama vile ilivyo O'bey, Masaki au Upanga, sasa ni kwanini?
Nyerere alijaribu kuanzisha Sinza ambayo labda ingekuwa kama Upanga lkn matokeo yake uchafu tu. Akaanzisha Mbezi Beach ambayo ndiyo ilipaswa kuwa O'bey yetu alifanikiwa mwanzoni Mbezi Beach ilikuwa upscale lkn sasa hivi Mbezi beach haina tofauti na Mwenge, Magomeni au Kigogo, uchafu kila mahali, bodaboda wauza miwa mihogo barabarani, mvua zikinyesha ni maji hayapiti wamejenga kwenye mito, maeneo ya wazi yamejengwa yote hakuna parks, public beach kama Coco hakuna wamejenga hotels na mavila yao na kuziba kila kitu
Upanga, O'bey, Ada Estate bado yanabakia kuwa maeneo mazuri na tulivu yasiyo na kelele na ushenzi, kwa nini? Sasa hivi wamehamia sijui Mbweni, kunavutia kwa sasa muda si mrefu Wahamiaji kutoka Mikoani watajaa wataleta bodaboda, wauza juice chafu, Makanisa ya kilokole kelele usiku kucha na itageuka Kimara Baruti.
Kwa nini tunashindwa kujenga maeneo mazuri na tulivu ya kuishi kwa raha na amani?
Umesema vyema kabisa ndugu. Mtu mweusi anatakiwa kuwekewa taratibu na zaidi asimamiwe katika kufuata huo utaratibu.Mzungu pamoja na kuwa simpendi, lakini ana uwezo wa kutumia akili yake kuyaweka maisha yake na yale ya wananchi wenzake yakawa rahisi na ya kupendeza.
Katika hili ninakubali kuwa sisi watu weusi ni manyani. Hatujitambui kuwa sisi pia ni binadam na tunatakiwa ili tuweze ishi katika mazingira mazuri, tunahitaji kuweka utaratibu wa mipango yetu.
Rais Magufuli amejenga magorofa ya Magomeni Quarters, sina uhakika kama wapangaji miji wetu walichukua taratibu zote zinazo paswa katika ujenzi wa hayo magorofa.
Nasema hivi kwa sababu sisi watanzania tukiambiwa tujenge yumba basi tuko mbio mbio sana katika kutekeleza hayo badala ya kuanangalia vitu muhimu vinavyotakiwa kuangaliwa katika ujenzi huo.
Serikali za kizungu ziko hivi, kabla ya kujenga makazi ya watu wake wanaangalia idadi ya wakazi, watapitisha au kuweka miundo mbinu muhimu kama; mabomba ya maji safi, mabomba ya maji taka, mitaro ya maji ya mvua kutoka majumbani na barabarani, barabara za mitaa, nyaya za umeme na taa za barabarani, nyaya za simu, TV na Radio, na internet.
Pia wanaangalia ni nyumba za aina gani zijengwe na kama za gorofa ni mpaka gorofa ngapi. Vilevile wanagarantii mobility ya wakazi kwa kuweka public transport, sehemu za michezo za vijana na watoto na sehemu za mahitaji muhimu ya vyakula kama soko na maduka.
Kwa kifupi wanazingatia mambo yote ya umuhimu ya wakazi katika eneo na sio majengo tu. Wanafanya vitu kwa system.
Huo ndo ukweli. Hakuna maendeleo hapa kwetu kiuhalisia. Tunarudi nyuma mara 1000 kila siku.Hiki ni kigezo kimoja kikubwa cha ngazi ya uchumi ya nchi. Majuzi tumejipongeza kwa kufikia “uchumi wa kati”. Sidhani kama kiuhalisia ina maana kubwa kwetu. Kiwango cha umasikini ni kikubwa kiasi kwamba chama tawala kinajikuta kikitegemea kura za wamachinga na mama lishe na hivyo kuruhusu sekta hiyo kugeuza miji kuwa majalala (slums).
Aidha, karibia nyumba zote za kuishi (residential) zinazojengwa siku hizi zina “fremu” za maduka, mama lishe, “grosari” bila kusahau “car wash” za kila sampuli. Si rahisi kuwa na O’bay, Upanga, Ada na Regent Estate za zamani. Tunazidi kurudi nyuma.
Roho mbaya hiyoWaulize watu wa halmashauri. Watu hawana upeo wala maono. Ni moja ya sababu naunga mkono MAGU kutowaongezea mishahara wafanyakazi wa serikali -tena ikiwezekana wapunguziwe- hawa watu hawafanyi kazi zao.
Uzi Bora kabisa wa mwaka 2020Nchi yetu inahitaji mabadiliko makubwa ya kifikra na kiuongozi hata na mifumo ili wataalamu watumike effectively, huku bongo nyumba za makazi, hapo hapo biashara nyumba zimebanana hamna hata garden au miti kupo kupo tu hovyo, very shame, na Sasa hivi nchi nzima imekuwa takataka kila mahali vibanda vya machinga na maturubali kila sehemu zimekuwa soko waweza ingia bank pembeni ukakuta muuza vitunguu na nyanya inasikitisha Sana, jamani viongozi wenye dhamana tumieni vizuri nafasi zenu kuleta mabadiliko chanya.
Mbona bahari beach pazuriHuwezi kuamini maeneo karibu yote yenye mpangalio mzuri wa mji pale wanaita CENTRAL BUSSINESS DISTRICT iwe ni Dar, Arusha, Mwanza, Tanga, Moshi, Dodoma, Mbeya, Tabora, Moro, Singida, Bukoba, etc palipangwa ama na Mjerumani au Mwingereza kuanzia mwaka 1880-1920 au 1920-1961.
Walipojenga wabongo ikiwa ni pamoja na mzee wa sifa ndio huko Manzese, Buguruni, Changanyikeni, Masika
Waafrika hatuna utaratibu na hatuthamini systematic process na planning. Huwezi kuamini mji ulioko katikati mahali pazuri kama Chalinze hauna mpango wowote, mji unakuwa tu kama kijiji cha huko porini.
Miji yote Tz inajengeka hovyo, ile mipango miji waliondoka nayo wakoloni na ni miaka 60 sasa baada ya uhuru, mambo ni hovyo.
Juz kat nilipita mitaa karibia na of ndog za bunge nikishangaa Sana yaani Ni vibanda vibanda tu vimejazanaaUzi Bora kabisa wa mwaka 2020
Mipango miji watu hawako na.weledi njaa tupuHayo maeneo yote yalianzishwa na Muzungu kwa ajili ya Muzungu na Muhindi, sisi maeneo yetu yalikuwa Magomeni, Temeke, na kwingineko, lkn mpaka leo hii tumeshindwa kabisa kuanzisha maeneo yetu mapya yenye hadhi na mazingira ya kuvutia kama vile ilivyo O'bey, Masaki au Upanga, sasa ni kwanini?
Nyerere alijaribu kuanzisha Sinza ambayo labda ingekuwa kama Upanga lkn matokeo yake uchafu tu. Akaanzisha Mbezi Beach ambayo ndiyo ilipaswa kuwa O'bey yetu alifanikiwa mwanzoni Mbezi Beach ilikuwa upscale lkn sasa hivi Mbezi beach haina tofauti na Mwenge, Magomeni au Kigogo, uchafu kila mahali, bodaboda wauza miwa mihogo barabarani, mvua zikinyesha ni maji hayapiti wamejenga kwenye mito, maeneo ya wazi yamejengwa yote hakuna parks, public beach kama Coco hakuna wamejenga hotels na mavila yao na kuziba kila kitu
Upanga, O'bey, Ada Estate bado yanabakia kuwa maeneo mazuri na tulivu yasiyo na kelele na ushenzi, kwa nini? Sasa hivi wamehamia sijui Mbweni, kunavutia kwa sasa muda si mrefu Wahamiaji kutoka Mikoani watajaa wataleta bodaboda, wauza juice chafu, Makanisa ya kilokole kelele usiku kucha na itageuka Kimara Baruti.
Kwa nini tunashindwa kujenga maeneo mazuri na tulivu ya kuishi kwa raha na amani?
Sasa hivi kariakoo hapafaiNa nyie ndo mnaofanya hii nchi iwe ya kishenzi. Polee sana.
Soma mada kwa kutulia alafu ndo toa mawazo yako. Hakuna mtu anayepinga watu kujitafutia. Suala ni hao watu wapangiwe maeneo maalum yaliyojengwa vizuri na kisasa, yenye miundombinu Bora inayopendeza.
Tatizo CCM imewafanya mfikiri kuwa kuishi vizuri katika maeneo mazuri ni kama bahati tu kumbe ndo hivyo mnavyotakiwa kuishi.