Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
hata #holygrail naye ni mkuu jamani. Hapana.
hata #holygrail naye ni mkuu jamani. Hapana.
Du!acha niwe mpole mkuu
Usijali hata wewe ni mkuundugu yangu
Nashangazwa na matumizi ya neno MKUU humu Jf. Yaani kila mtu anamwita mwenzake mkuu hivi huu ni ukuu unatokana na kitu gani.