Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Mbona bungen nako wote wanaitwa waheshimiwa...akat wengine pumba tupu kama yule mbinge wa ######
 

There you are mkuu, mbali na taaluma/mishe mishe zako za kukuingizia mkate wa kila siku sijui interests zako nyingine(na sitazihoji). Mimi no matter ni kiasi gani nimechoka nikipitia nukuu mbili tatu za wisest men waliopata kuishi huwa akili inarelax, napenda kuona ni namna gani walivyosolve matatizo aina aina yaliyorise kwenye jamii zao kwa kutumia busara na hekima ya hali ya Juu.

Mimi ni mmoja wa watu wanaoamini kwamba pamoja na mambo mengine madogo madogo Mwl. J.K.Nyerere alikuwa Mentor,mwenye utu na muungwana,mwenye busara na hekima ya hali ya juu na hakusita kujibadili na ama kubadilisha mfumo wa watu aliokuwa anawaongoza baada ya kugundua kwamba namna alivyokuwa anaendesha iliwaacha baadhi bila kukidhi malengo yao.
 
Yaani mimi hili swala limeniathiri mpk mtaani ninapoishi kila mtu namwita mkuu,
hahahaha
 
Nashangazwa na matumizi ya neno MKUU humu Jf. Yaani kila mtu anamwita mwenzake mkuu hivi huu ni ukuu unatokana na kitu gani.

Sisi watz huwa ni wakarimu hizo ni lugha za kuonyesha kuheshimiana kaka
 
Nashangazwa na matumizi ya neno MKUU humu Jf. Yaani kila mtu anamwita mwenzake mkuu hivi huu ni ukuu unatokana na kitu gani.

"mkuu", hili swala sio mara ya kwanza hapa.lilishawahi kuulizwa na kijibiwa na "wakuu" wote wa jf.
 
Ni sawa na kuhoji kila Maalim kuwa na ndevu nyingi teh teh teh teeeeeeh!
 
Mkuu, unajua humu JF hatujuani kwa umri sasa kurahisisha ndo trait ana mkuu. Ni heshima Fulani hivi.

hatujuani umri, jinsia........ hivyo neno rahisi ni kuitana mkuu...
 
Mkuu, nimefanya kuuliza ili kuangalia mwitikio wa wadau an kuendeleza mjadala, wala sina mfumo dume kichwani mwangu, naheshimu sana mchango wa dada na mama zetu, hao wengine uliowataja mmmh!watajitetea wenyewe
 
Mkuu MAkameee umenifurahisha sana kwani wakuu wamechangia mada ipasavyo, kesho njoo na mada nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…