Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashangazwa na matumizi ya neno MKUU humu Jf. Yaani kila mtu anamwita mwenzake mkuu hivi huu ni ukuu unatokana na kitu gani.
Kuna hii nyengine ya kuamini kila msomi ana mawazo bora kumbe hapana vitu hivi havina uhusiano hata kidogo na kama upo basi ni mdogo mno. So mtu kuwa na busara na hekima hakuna uhusiano wowote na umri au elimu yake. Unajua watu wazima walianzia huku kwenye utoto, ujana n.k sasa mtu kama kwenye ujana wake huoni kitu kichwani basi hapo usitegemee kama akiwa mzee atakua na busara. Kwa hiyo basi twaweza kuufanya uzee wetu uwe bora iwapo tutaamka kipindi cha ujana wetu na kuyafanyia marekebisho maeneo mbali mbali ambayo yana matatizo.
Hahahaha nimejikuta nacheka sana baada ya kusoma comments
Mndengereko kweli wewe nouma, hadi huko kuna wakuu?Yaani mimi hili swala limeniathiri mpk mtaani ninapoishi kila mtu namwita mkuu,
hahahaha
Wakuu nshawahi!ID yangu nyingine itakuwa 'mkuu',mods wakinipiga ban nageuka mkuu!
Mndengereko kweli wewe nouma, hadi huko kuna wakuu?
Nashangazwa na matumizi ya neno MKUU humu Jf. Yaani kila mtu anamwita mwenzake mkuu hivi huu ni ukuu unatokana na kitu gani.
Nashangazwa na matumizi ya neno MKUU humu Jf. Yaani kila mtu anamwita mwenzake mkuu hivi huu ni ukuu unatokana na kitu gani.
Tatizo lipo utakuta kuna member humu wao ni matusi kwenda mbele lakini nao wanapewa hiyo hadhi ya mkuu.
Hivi hujamtukana kweli?
Mkuu, unajua humu JF hatujuani kwa umri sasa kurahisisha ndo trait ana mkuu. Ni heshima Fulani hivi.
Mkuu, nimefanya kuuliza ili kuangalia mwitikio wa wadau an kuendeleza mjadala, wala sina mfumo dume kichwani mwangu, naheshimu sana mchango wa dada na mama zetu, hao wengine uliowataja mmmh!watajitetea wenyeweWewewe!!!!!! Yaani dada hastshili kuitwa mkuu? Hebu jaribu kuifuta hiyo mifumo dume kwenye kichwa chako. By the way mimi binafsi uwa natumia hilo neno kumaddress member yeyote mwenye mchango wenye akili. Hata siku moja siwezi kumuita mkuu mtu kama Ifweero, Msalani, Rutashobolwa na Lumumba book 7 group wote kwa kuwa hawajitambui.
Tiba
Tatizo lipo utakuta kuna member humu wao ni matusi kwenda mbele lakini nao wanapewa hiyo hadhi ya mkuu.
Basi mi nabadilisha mkuu, kuanzia leo tuwe tunaitana poti!