Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Mbona bungen nako wote wanaitwa waheshimiwa...akat wengine pumba tupu kama yule mbinge wa ######
 
Kuna hii nyengine ya kuamini kila msomi ana mawazo bora kumbe hapana vitu hivi havina uhusiano hata kidogo na kama upo basi ni mdogo mno. So mtu kuwa na busara na hekima hakuna uhusiano wowote na umri au elimu yake. Unajua watu wazima walianzia huku kwenye utoto, ujana n.k sasa mtu kama kwenye ujana wake huoni kitu kichwani basi hapo usitegemee kama akiwa mzee atakua na busara. Kwa hiyo basi twaweza kuufanya uzee wetu uwe bora iwapo tutaamka kipindi cha ujana wetu na kuyafanyia marekebisho maeneo mbali mbali ambayo yana matatizo.

There you are mkuu, mbali na taaluma/mishe mishe zako za kukuingizia mkate wa kila siku sijui interests zako nyingine(na sitazihoji). Mimi no matter ni kiasi gani nimechoka nikipitia nukuu mbili tatu za wisest men waliopata kuishi huwa akili inarelax, napenda kuona ni namna gani walivyosolve matatizo aina aina yaliyorise kwenye jamii zao kwa kutumia busara na hekima ya hali ya Juu.

Mimi ni mmoja wa watu wanaoamini kwamba pamoja na mambo mengine madogo madogo Mwl. J.K.Nyerere alikuwa Mentor,mwenye utu na muungwana,mwenye busara na hekima ya hali ya juu na hakusita kujibadili na ama kubadilisha mfumo wa watu aliokuwa anawaongoza baada ya kugundua kwamba namna alivyokuwa anaendesha iliwaacha baadhi bila kukidhi malengo yao.
 
Yaani mimi hili swala limeniathiri mpk mtaani ninapoishi kila mtu namwita mkuu,
hahahaha
 
Nashangazwa na matumizi ya neno MKUU humu Jf. Yaani kila mtu anamwita mwenzake mkuu hivi huu ni ukuu unatokana na kitu gani.

Sisi watz huwa ni wakarimu hizo ni lugha za kuonyesha kuheshimiana kaka
 
Nashangazwa na matumizi ya neno MKUU humu Jf. Yaani kila mtu anamwita mwenzake mkuu hivi huu ni ukuu unatokana na kitu gani.

"mkuu", hili swala sio mara ya kwanza hapa.lilishawahi kuulizwa na kijibiwa na "wakuu" wote wa jf.
 
Ni sawa na kuhoji kila Maalim kuwa na ndevu nyingi teh teh teh teeeeeeh!
 
Wewewe!!!!!! Yaani dada hastshili kuitwa mkuu? Hebu jaribu kuifuta hiyo mifumo dume kwenye kichwa chako. By the way mimi binafsi uwa natumia hilo neno kumaddress member yeyote mwenye mchango wenye akili. Hata siku moja siwezi kumuita mkuu mtu kama Ifweero, Msalani, Rutashobolwa na Lumumba book 7 group wote kwa kuwa hawajitambui.

Tiba
Mkuu, nimefanya kuuliza ili kuangalia mwitikio wa wadau an kuendeleza mjadala, wala sina mfumo dume kichwani mwangu, naheshimu sana mchango wa dada na mama zetu, hao wengine uliowataja mmmh!watajitetea wenyewe
 
Mkuu MAkameee umenifurahisha sana kwani wakuu wamechangia mada ipasavyo, kesho njoo na mada nyingine
 
Back
Top Bottom