Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Neno Mkuu kidogo linaweza kutumiwa kwa jinsia zote mbili maana hizi Id zetu feki ni ngumu kujua Me na Ke... ikiita mtu Mkuu kwa jinsia yoyote ile hawez leta makasiriko
Nakubari, maelezo yamenyooka
 
Perfect πŸ’―
 
Kuna boss fulani wetu alikuwa mkuda sana so badala ya kumwiita boss tukawa tunamwiita MKUU anafurahi sana kumbe sisi tulimaanisha MKUUUNDU,sasa alivyokuja kugundua tunachomaanisha kwake ilikuwa balaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].So kila mtu akikuita mkuu anamaanisha hiyo[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Kwa sababu ya ID fake, na ile hali ya kutokujuana (yawezekana ukawa unapingana hoja na mzazi wako n.k) hupelekea watu kutumia lugha ya busara ya kuitana wakuu badala ya kuitana mburura.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…