MMkuu karibu jfNimekuwa humu kwa kipindi kidogo lakini hili la kuitana 'Mkuu' limekuja tu. Sijui kwanini wakuu?
Mkuu kwani vipiNimekuwa humu kwa kipindi kidogo lakini hili la kuitana 'Mkuu' limekuja tu. Sijui kwanini wakuu?
Huu ndio ulikuwa mwanzo wa Chawa na Uchawa.Nimekuwa humu kwa kipindi kidogo lakini hili la kuitana 'Mkuu' limekuja tu. Sijui kwanini wakuu?
Mambo ya humu huwa yanafikirisha sana MkuuNimefikiri nikawazua na wala sijapata majibu wakuu hivi kwanini jamii forum tunapenda kuitana mkuu? Na hili neno mkuu limetokana na vp mpaka watu wakaanza kuitana mkuu?
Maana Mkuu, Mkuu, eti mkuu watu hatujuani na tunatumia id's fake lakini bado tunaitana wakuu kwanini mkuu na si jina lingine kama dada, kaka, shangazi au mpwa kama linavyotumika kule X ila ukija huku ni mkuu Why?