Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Ukitaka kunywa bia za bure kutoka kwa mjinga muite MKUU.
Ukitaka kumpata mwanamke wa kijaluo kirahisi muambie yeye Ni MWEUPE.
Ukitaka kumpata mwanamke wa kingoni kirahisi mwambie yeye Ni MREMBO.
Last but not least, UKIWA BAR ukaona MTU anakusifia aidha kwa kukuita mkubwa, boss, chifu, kiongozi, sheikh, mtumishi, ustaadh kaa mbali Sana na huyo mtu.
Na ninyi wanawake ukiona MTU anakusifia una chura ilhali unajijua huna hicho kitu au akakuambia wewe Ni MREMBO ilhali sura yako Ni very personal ujue Kuna uwezekano wa kupewa mimba ambayo mtia mimba ataikana.
 
Sipendi kutumia neno mkuu kwa kuwa linatumika sana katika ulimwengu wa roho. Mf. "Mkuu wa anga sehemu fulani " katika vikundi vyao aliyebobea anaitwa "mkuu "
 
Nimefikiri nikawazua na wala sijapata majibu wakuu hivi kwanini jamii forum tunapenda kuitana mkuu? Na hili neno mkuu limetokana na vp mpaka watu wakaanza kuitana mkuu?

Maana Mkuu, Mkuu, eti mkuu watu hatujuani na tunatumia id's fake lakini bado tunaitana wakuu kwanini mkuu na si jina lingine kama dada, kaka, shangazi au mpwa kama linavyotumika kule X ila ukija huku ni mkuu Why?
 
Mambo ya humu huwa yanafikirisha sana Mkuu
 
Back
Top Bottom